Muungano ukivunjika

Zanzibar haijawahi kufanikiwa bila kuwa na namna ya unyonyaji Fulani kabla ya Muungano. Tafakari
 
American ndio alie alie faidika zaidi kwa watumwa, baada ya kuona hakuna faida akawatupa huko South America kama caribian, nchi za caribian kuna mamilioni za watumwa, Jamaica, Trinidad, Haiti, na visiwa vyengine huko.
Uengereza watumwa walitumika hadi miaka 1900 na wengine kuingizwa kwenye jeshi, vita vya pili vya dunia, baada ya hapo wakapewa uhuru na kuchukua familia zao miaka ya 1940.

Watumwa ndio walio jenga nchi za mabeberu, uwengereza na Amerika, siwezi kukata au kukubali kuhusu utumwa Zanzibar, ukweli pia hata Waafrika walishiriki asilimia 100 kuuza watumwa, hakujutumika nguvu, nguvu ilitumika baada ya watumwa kumilikiwa na Bwana kukufanya anavyo taka. Unajua siasa ni uchafu, kama utumwa ni chanzo cha kuondoshwa utawala wa Zanzibar ambao ulikua halali kabisa, kwani utawala wa ufalme wa uk, America, Saudia, oman Emirates huko hazikupinduliwa? Suala la mapinduzi ya Zanzibar limo katika kitabu cha kwa heri ukoloni.
 
Swaumu imekubana unaota huku unaangalia...upuuzi wenu huu ndo unaomnyima uongozi kibaraka wa waarabu Seif Sharifu...na mpaka anakufa zanzbr hatoitawala kenge bahari nyinyi....

Ndivyo ulivyoambiwa na kardinali wako Pengo kibaraka wa Wataliana??
 
Pole maneno hayo waambie hao watanganyika wenzio huko kitanda usichokilalia hujui kunguni wake kiukweli ukoloni huu ulopewa heshima ya kuitwa muungano kwa wazanzibar nii kiini macho tu rais atawale zanzibar kuchaguliwa tanganyika imetosha sasa!
 
Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.
Hilo dogo tu ata saiv na uvunjike uone kama kuna mzanxibar atashoboka na tanganyika kwa kipi kikubwa mlonacho ?pia usisahau hatuko hapa kwa hifadhi kama wakimbizi tunafanya kazi halali kujiingizia kipato bt tuko tayari kuacha yote kwa nchi yetu zanzibar kwanza mipasho na vitisho baadae
 
Uingereza anajitoa European union imekaaje hii
 
Hata sudani kusini walifikiri hivi hivi,kinachoendelea tunakiona.
 
Usisahau na tatizo LA ardhi maana wa zenj wanaoishi bara,ni wengi kuliko wakazi wote wa Pemba,
Ukivunjika,tunafukuza wote,kuanzia kahama mpaka nanyumbu,Kigoma mpaka Dar
 
Usisahau na tatizo LA ardhi maana wa zenj wanaoishi bara,ni wengi kuliko wakazi wote wa Pemba,
Ukivunjika,tunafukuza wote,kuanzia kahama mpaka nanyumbu,Kigoma mpaka Dar

Nani alikuambia ??? Lumumba??? Huko ndio kujipiga risasi kichwani
 
Hata sudani kusini walifikiri hivi hivi,kinachoendelea tunakiona.

Sudani kusini waliambiwa wao ni wakristo wajitenge na hao tunaoambiwa siku zote humu JF kuwa ni waarabu yaani waislamu.

Wakristo wenzao wakawaacha mkono kwani hao wazungu ukristo huutumia kunyonya nchi masikini tu , hawana cha Yesu na hivyo vita kwao ni muhimu kwani pesa yote ya mafuta wanaitumia kununulia silaha za kuuwana wenyewe kwa wenyewe
na mkristo mwenzao ndio kajipatia soko

Zanzibar imevamiwa na Tanganyika tokea 1964 ,

Mbona Idi Amin alipoivamia Tanganyika hamkumuachia Kagera tu ???

Zanzibar imevamiwa nchi yote na kuibiwa rasilimali zake zote
 
Nadhani muungano wetu umedumu hivi ni kwa sababu ya historia yetu, sio kwamba Wazanzibari hawaioni Exit button.
 
Sema ina rangi nyeupe na kijani, Wazanzibari huenda wanaiogopa kwasababu ina shoti hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…