Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,794
- 1,235
wanachofanya hawa jamaa kwa waarabu ni sawasawa na wale watoto wanaokuwa sexually abused mpaka kufikia hatua ya kudhani ni wajibu wao kuwa abused...tuwaache watwana waende kwa mabwana zao kwa amani...Dah kweli... maana hata mimi cjawahi kusikia rais/makamu wa rais wa zanzibar katoka bara na hilo hata silielewi kwa nini kwa kweli na wao wanakuwa makamu wa rais pamoja na vyeo vingine vikubwa kubwa.. Tanganyika yetu ni bora irudi tu kama ni mapenzi ya Mungu na zazibar ihamie uarabuni maana hao ndo wanawachanganya - mtumwa na mtwana. by the way hao wazenji wenyewe minyamwezi na misukuma na machinga kibao iliyokuwa mitumwa sasa wanajiona sijui ni waarabu?!! kweli waarabu wamewachanganya. Nasupport Tanganyika irudi lakini kama Mungu wa kweli anataka na si mungu wa kipagani...