Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Halafu mbona huyo mmoja pande lake linampa tabu? Mwenziwe kajimegea kasaizi yake ili abebe na bakora yake. Jamaa lina tamaa limebeba zaidi ya saizi yake.
Hivyo vipisi vilivyobakia itakuwaje? Ama ndo vinatelekezwa rasmi?
Mkuu Ngekewa Huyo aliyebeba Herufi ya U ni M-DANGANYIKA Na huyo Aliye beba Herufi I ni MU-Unguja ndio na maana ya huo MUUNGANO.