Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

Wazolee

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
2,701
3,091
Mtume Muhammad s.a.w alifanya muujiza wa kupasua mwezi vipande viwili baada ya makafiri wa Maka kumtaka afanye hivyo Ili kuthibitisha kama kweli yeye ni mtume wa Mungu

HU MUUJIZA QURAN IMEGUSIA KIDOGO TU
Qurani 54:1
Saa imekaribia, na mwezi umepasuka!
54:2
Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea.


MASHUHUDA WA HILO TUKIO
Mutw'im alisema: "Mwezi ulipasuka vipande viwili wakati wa Mjumbe wa Allah na sehemu ya mwezi ulikuwa juu ya mlima na sehemu nyingine kwenye mlima mwingine. Wakasema (makafiri) "Muhammad ametufanyia uchawi"

WANASAYANSI WAMEGUNDUA KUWA MWEZI UNA UFA UNAO UGAWANYA MWEZI VIPANDE VIWILI

The Crack on the Moon
The Moon's surface is totally cracked. Analysis of the lunar surface reveals that it's far more fractured than once thought. The damage goes far deeper than that, with cracks extending to depths of 12 miles (20 kilometers).

Some scientists believe that the linear rilles might have formed after large impact events, while others believe that the rilles were formed as a surface manifestation of deep-seated dike systems when the moon was still volcanically active [2].

The crack is deepen to the core of the moon, so it is believed that it has been splitted into two halves in the past.
Screenshot_20230707-175257.jpg
 
Vipi jua kuzama matopeni ? ,Mkuu kwa akili timamu mwezi upasuke alafu kipande kimoja nyuma ya mlima😂 hata MT kilimanjaro tu hauwezi kuficha mwezi

NB
Comment yangu haifungamani na dini yoyote na wala sijajadili dini bali hiyo hadithi ya mwezi kukaa nyuma ya mlima
 
Back
Top Bottom