Muuguzi Na Mkunga (Nursing and Midwifery) Kujitolea

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
282
250
Habari Wakuu..

Samahani Ninaomba Nafasi Ya kujitolea Katika Fani Ya Uuguzi na Ukunga.kwa Hospital , Kituo chq Afya , Zahanati au Kuuza Duka La dawa, Homebase Care

Mimi Nimehitimu Chuo Mwaka Huu..

Nipo Dar es Salaam ila Nipo Tayari Kufanya mkoa wowote

Msaada wakuu siwezi Kukaa Idle Kwa sasa...
 

TwellahDr

Member
Feb 2, 2019
49
125
Huwezi kukaa idle kwa sasa unamanisha nini ? Jaribu kwenda kwenye vituo uongee na wahusika moja kwa moja.
 

TwellahDr

Member
Feb 2, 2019
49
125
Mkuu mpaka sasa nimeshazunguka Hospitali 7 zote ni Holaa...Hawahitaji Hata Mtu wa kujitolea Tu.
Saba ni chache sana. Bado zunguka.. Sometimes usitegemee kuitwa sasa hivi. Unaweza kuitwa hata baada ya miezi 5. Yani hadi unasahau ni HOSPITAL gani.. Cha msingi tengeneza CV. yako tembea HOSPITAL nyingi uwezavyo acha CV. kila unapopita.. Then baadae tulia. Kuna sehemu utaitwa tu..never give up.
Ukiona matangazo online omba pia.
Italipa tu.
All thé Best.
 

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
282
250
Saba ni chache sana. Bado zunguka.. Sometimes usitegemee kuitwa sasa hivi. Unaweza kuitwa hata baada ya miezi 5. Yani hadi unasahau ni HOSPITAL gani.. Cha msingi tengeneza CV. yako tembea HOSPITAL nyingi uwezavyo acha CV. kila unapopita.. Then baadae tulia. Kuna sehemu utaitwa tu..never give up.
Ukiona matangazo online omba pia.
Italipa tu.
All thé Best.
Asante sana Boss kwa ushauri wako nimekuelewa mkuu
 

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
436
1,000
Daah!hakika utawala wa huyu jamaa hapana...vijana hatuna uhakika wa maisha jamani...jiwe atoe ajira KBS ..sjui raisi gani huyu asiejari maisha ya watu .
 

Congressman

JF-Expert Member
Jun 2, 2020
459
1,000
Kama una leseni nenda chuo kikuu cha sokoine morogoro, wana uhaba mkubwa wa intern upande wa kada yako. Taarifa nimeipata kutoka kwa hr my classmate
 

Mdada96

Member
Aug 15, 2017
30
125
Nenda hospitali ya kigamboni me pia no muuguzi mwenzio maelekezo utayapata kwa matron kazi zipo ukitafuta pia tusali na kuomba ..MUNGU WETU NI MWENYE REHEMA NA TUOMBAPO HUSIKIA ...hospitali saba chache sana hasa ukizingatia kipindu ichi ambacho corona ilipita endelea zunguka usichoke na usikate tamaa☺☺
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom