Serikali yetu haijaweka kipaumbele kwenye mambo ya msingi kama afya na elimu,vipaumbele vimewekwa kwenye safari za raisi,ufisadi,ujangili na yanayofanana ba hayo,mimi ndio maana naona bora kutumia pesa nyingi kutibiwa private hospitals kuliko huko uchwara
ni mara yako ya kwanza kusikia hivyo?hata chini ya hapo mtu aweza pata uchungu na ndo zinaitwa abortion,kwa umri wa huyo mama na kubeba watoto wawili hilo ni tatizo tayari!uwezekano wa kufika term ulikua mdogo saaana!Muuguzi kuongea na simu wakati huo labda ni kweli alikua anaita daktari au amejitetea tuu hilo analijua yeye!Ninachokijua sasa hivi serikali ipo makini sana kufuatilia vifo vya watoto mara tuu baada ya mama kujifungua!au kifo cha mama akijifungua!amini usiamini wauguzi wengi wanaiogopa wadi ya kujifungua kwani huko ndo kuna lawama hata zingine zimetokea kwa mipango ya Mungu!kwa kumalizia ni kwamba hii haitabaki kama ilivyosemwa na daktari bingwa ila itachunguzwa zaidi na nurse akionekana alikiuka utaratibu ataadhibiwa kwa mujibu wa sheriaUjauzito miezi sita uchungu unatokea wapi jamani???
Umeniwai kumuuliza
kwani wote wanaopata matatizo wakati wa uzazi wanakuwa na miaka 15?
dah haya maneno yameniuma maana nimepoteza mtoto wakati wa kujifungua kwa sababu ya hizo hizo dharau za manesi
umri wenyewe miaka 15. anatakiwa awe shule! via vya uzazi bado havijakomaa! kwa kiherehere chake anafanya ngono tena bila kinga! mwisho lawama mnamtwisha nurse! acheni kujitoa fahamu! kemeeni umalaya utotoni unaoendekezwa na wazazi wenye njaa! mnawatesa wahudumu wetu kwa ujinga wenu! hata Rais alishasema ni viherehere vyao!
Mkuu humu kuna watu hawana familia kila siku wanaoa watajua wapi hayo? kiukweli hata mimi ni muhanga ilishatokea kwangu siku hiyo hata kama ningepata kijiko karibu kingegeuka kisu na kumkata mtu ila nashukuru Mungu aliepushia mbali.hakuna watu washenzi,mbwa,mafedhuli km manesi waasiojuA majukumu yao
mimi ninaeongea hv mwanamke nimeshuhudiA with ma naked eyes labor mambo tunayofanyiwA watajikosha humu lakini yakishetani
nesi anakwambia kabisa nipe bas posho yangu
wajawazito mf dar wanadAnganya vifaa vya kujofungu bure ni uongo tunannua tena km huna ukienda jifungua unazalishwa wAkija ndg zako wanadai kuanzia elf25 hutoki hadi ulipe
ambulance mf uko wanakurefeer unalipia mafuta 20000hata km mko wawili
najua kuna mtakaobisha ila ukweli mtupu
Naunga mkono waiweke hadharani kama hajaomba likizo kesho nymbf zake.Mwenye sm ya huyo daktari aiweke jamvini nimwendee hewani mimi
kwani wote wanaopata matatizo wakati wa uzazi wanakuwa na miaka 15?
dah haya maneno yameniuma maana nimepoteza mtoto wakati wa kujifungua kwa sababu ya hizo hizo dharau za manesi
nadhan mmni 'quote' vibaya! na ninawasiwasi na umakini wa uelewa wenu! mmenikumbusha kauli ya mh. sita kwa ana makinda kuwa asikurupuke! nanyi naona mmekurupuka! Me nachangia hoja ya Shinyanga na si kwingineko! kama uliwahi tendewa mabaya pole sana! lakini narndelea kusisitiza kuwa tukio la shinyanga ni matokeo ya wazaz wazembe wanaodai haki bila kutimiza wajibu wao! pia nasisitiza kuws ni kihere here cha mtoto mwenyewe! na wasipoacha umlaya utotoni wengi watarajie kufa! me nna watoto si mmoja! hawana kiherehere! tena wanamjuwa sana MUNGU! MUNGU aendelee kuwapa maarifa na ufahamu wa kumjuwa zaidi!
Inasikitisha sana. Huu ni ukatili kama inawezekana afukuzwe kazi na kupelekwa mahakanani iwe fundisho kwa wengine.
Kwa nini watu wanakuwa hawana hata chembe ya huruma na uhai wa wenzao. Kitakachoshangaza ni.kuwa hamna hatua yoyote ya kinidhamu itakayochukuliwa kuhusu huu ukatili.
we acha tu hao watu ni wauaji kabisa, pamoja na yote hayo wala hakuna kujali wala niniwatu wabishe tu lakini hawa viumbe wanatutesa sana basi tu maana walinitendea ubaya hadi ndugu wakasema angalau uhai wangu umebaki japo mtoto nimemkosa nibaki kuuguza mshono tu ni wapuuzi tena washenzi, hali hiyo eti sisi tupo mjini sasa hao ndugu zetu wa vijijini sijui ndo inakuwajehakuna watu washenzi,mbwa,mafedhuli km manesi waasiojuA majukumu yao mimi ninaeongea hv mwanamke nimeshuhudiA with ma naked eyes labor mambo tunayofanyiwA watajikosha humu lakini yakishetaninesi anakwambia kabisa nipe bas posho yanguwajawazito mf dar wanadAnganya vifaa vya kujofungu bure ni uongo tunannua tena km huna ukienda jifungua unazalishwa wAkija ndg zako wanadai kuanzia elf25 hutoki hadi ulipeambulance mf uko wanakurefeer unalipia mafuta 20000hata km mko wawili najua kuna mtakaobisha ila ukweli mtupu