"Muuaji" ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM

"Muuaji" ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,482
Reaction score
286,939
Hii inaonyesha namna chama hicho kinavyojinasibisha na utekaji na mauaji

Screenshot_20261011_192802_Instagram.jpg


Swali ni hili, Je Wananchi wataendelea kuwanyamazia watekaji hawa wanaopandishwa vyeo kutokana na kazi hiyo ya Shetani hadi lini?
 
Mkuu, kumbuka hawa viongozi ambao tunawakashfu kwamba ni wauwaji na mafisadi, wanatoka hapa hapa africa na wanasoma shule za kiafrica mila na desturi za kiafrica hata wewe ukipewa hayo madaraka lazima tu automatiki utakuwafisadi na muuwaji kulinda ugali wako hii ndio africa huo ndio utaratibu wetu wa uongozi, kwa hiyo muda mwingine lete mada za kimantiki.
 
Back
Top Bottom