Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Mimba za utotoni zinaua, ngoja wachomoke nyonga !wapate mimba tu mayai wanayo na sio ya kupikia chips zege.
Mimba za utotoni zinaua, ngoja wachomoke nyonga !wapate mimba tu mayai wanayo na sio ya kupikia chips zege.
hata homa ya dengue inaua pia.Mimba za utotoni zinaua, ngoja wachomoke nyonga !
Mbowe hamuwezi kumtoa hata mfanyeje!Bado huyu wa hapa home
Wajipange kuzikana !hata homa ya dengue inaua pia.
acha wafu wazike wafu wao.Wajipange kuzikana !
Ataendelea kula bata lkn si kwa point zako.Kwa Malawi hapo hakuna tatizo nimewahi kushuhudia hayo ya vifaru, Mfano asiye raia akifanya vurugu hawaji polisi vinakuja vifaru, mtu umemwaga bia ya mwenzako. Wajinga sana wale jamaa. Mutharika ataendelea tu kula bata
Naona dots hapoPeter Mutharika: Ziwa Malawi ni letu, hakuna umiliki wa pamoja, lazima tulinde mali yetu
![]()
Rais Mutharika: Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi
MZOZO ZIWA NYASA: Rais Mutharika wa Malawi awaambia wasuluhishi Alhamisi msimamo kuhusu Ziwa Nyasa uko palepale, Ziwa lote ni la Malawi, hakuna haja kuzungumza. Mutharika maintains Lake Malawi ownership non-negotiable:‘No war with Tanzania' Malawi President Peter Mutharika has maintained...www.jamiiforums.com
Kumbe na majirani zetu huwa hawapendi ujinga
.....
.....Upepo wa Nile una ambaa ambaa kwenye CHAKI
Kama huna nywele inakuwaje !? Dead wish !
Sudan mpaka leo hawajui boss wa nchi ni nani !
Unataka wapinzani wagaiwe keki !? Wakishaitwa wapinzani, hao si wenzio, ama wewe ama wao !Bora iwe hivyo kuliko kuwa na boss anayeagiza wapinzani wapigwe risasi na kuwekwa jela. Huoni sasa hii aliyekuwa boss muonevu ananyea ndoo huko Sudan?