News development.
**Mahakama imekubali ombi la upande wa upinzani kuendelea na kesi ya kupinga matokeo.
**Rais mteule Peter Mutharika amewalaumu wabunge kuwa ndio wanaochochea vurugu.
**Baadhi ya wanajeshi na polisi jana walionekana mitaani huku wakishangiliwa na wananchi.
**Rais Mutharika amemfukuza kazi Mkuu wa Majeshi na kumteua kuwa mshauri wa usalama na ulinzi.