Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Swala la KATIBA MPYA ndio kwanza linaanza na haya ote wayafanyayo Rais Kikwete na CCM ni kule kupima tu nguvu za asasi za kiraia na vyama vya siasa kama kweli wapo na kama wanajua kweli wajibu wao katika zoezi hili lote zima.