HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,200
Huko serikalini kuna wasomi wa kila namna na wote wanaopigia kampeni huu muswada kumbe waliuiba au PLAGIARIZE bila kuweka sources zao.
Hebus soma kipengele hiki:
Serikali ya Tanzania na wizara husika ziliiba huu muswada toka hapa:
http://www.cyberdialogue.ca/wp-content/uploads/2011/03/ITU-Toolkit-for-Cybercrime-Legislation.pdf
Kweli nchi hii ni ya kufikirika. Na viongozi wetu hawana maana hata kidogo wao wanataka kupiga marufuku na kutufunga kwa miaka mitatu kwa kupost vtu from the internetet na wao muswada wao unapingana na mambo haya haya