muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.
Chris leo hatimaye umeanza kupata akiri! Najua suala la Tanganyika linakudrive crazy! hahahaha! Lakini inabidi katiba iangaliwe kwa upana wake!
Si unakumbuka suala lililopelekea raisi wa Zanzibar kutolewa kuwa makamu wa raisi? Simply MaCCm wenzia walipredict kuwa Seif anaweza kuchukua nchi, Zanzibar! Ni upuuzi mtupu, kuandika kitu kama wehu badala ya kuangalia manufaa ya Taifa kwa leo na siku zijazo!