Vicent Temu
Member
- Aug 13, 2013
- 34
- 5
muswada wa rasimu ya katiba uliopitishwa kibabe hivi karibuni mjini dodoma na kutakiwa kusainiwa na raisi mheshimiwa hatausaini na badala yake unarudishwa bungeni tarehe 29 october ukajadiwe upiya.
Endeleeni kujipa matumaini nyie wagonjwa ili Daktari akija awape dawa ya kusogeza siku.
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
chanzo tafadhali
Source pliz..
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Full umbea na udaku.....haturudi nyuma kamwe na akirudi toka US anasign. No retreat no surrender. Endeleeni kuoana huko Zanzibar maana nasikia mnalala kitanda kimoja
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Mtu akiangalia haraka atafikiri umetumia hekima kumbe umesoma game ukagundua ccm will never win this. Teh teh
Nilidhani mtu anaye ishi Ulaya anajua thamani ya muda na pesa kumbe bure tu, watu wamechukua pesa za kikao, watu wakamkejeri Mbowe na Sugu (hata mtu wa ulaya ulifanya hivyo) kile kile walichokua wanagombea kina Mbowe kinarudishwa Bungeni tena, ndio kusema Wachezesha disco na wasiosoma wana akili kuliko waliokulia kwenye siasa na wasomi! Anyway, ni Tanzania tu ndio wapiga kura wao hawatunzagi kumbukumbu cause kama tungekua watunza kumbukumbu, ccm ingekua inasomwa kwenye vitabu vya historia tu. Aibu kubwa sana mtu kama wewe ku-comment hicho ulicho andikaWapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Wapinzani inabidi wasikilizwe, suala la katiba sio la kuamuliwa na chama kimoja.
Katiba ni kwa ajili ya watanzania wote
Source pliz..
hana busara yeyote huyo! Mnafiki tukumbe siku zingine unakuwa na busara!!!