Musukuma(Mb) awaponda Nape na Kitwanga, ataka Kitwanga ahakikiwe vyeti

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,942
19,130
Mbunge Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma amewaponda mawaziri waliotumbuliwa na Magufuli Nape Nnauye na Charles Kitwanga kwa kuiponda serikali baada ya kutolewa kwenye uwaziri na kumtaka waziri wa elimu ahakiki vyeti vyao.

Amemshangaa Kitwanga kwa kusema sasa ameondoka kwenye uwaziri na ataanza kuisema serikali akiuliza kwenye baraza la mawaziri wanaambiwa nini.

Amemponda kauli ya kitwanga ya ku mobilize wananchi 10,000 kuharibu mtambo wa maji na kuhoji vyeti vyake vipi?
Kuhusu kauli ya Nape kusema CCM haitarudishwa endapo haitatekeleza bajeti ya maji amesema sio kwdeli kwa kuwa miaka mingi hawatekelezi ilani na wanachaguliwa na wananchi hawawategemei kwa maji tu na bado muda upo

Pia amesema hela ya bajeti ya maji ni nyingi iwapo itatoka yote. amesema bajeti liyopita ilipangwa kutolewa bilioni 915 lakini mpaka leo ni 181 tu ndio imetoka

Yeye huyo mbunge alete vyeti vyake kwanza maana nahis na yeye ame forge.
Uzuri msukuma hana elimu inayohusu cheti hivyo suala la uhahikik vyeti halimuhusu.

Ila huyu jamaa anajua sana kuishi karibu na kiti cha ufalme. Nakumbuka alivyokuwa upande wa Lowasa wakati upepo wa ufalme unamwendea vyema, na pia nakumbuka alivyobadilika baada ya Lowasa kutoswa kiti cha ufalme. Kwa kifupi ni upuuzi kufikiria eti Msukuma ni mtetezi wa ufalme au kusema ni rafiki wa kweli
 
Ujengaji wake wa hoja, na urahisi wa lugha anayotumia mheshimiwa Msukuma, unatabainisha
...elimu aliyopata (shule ya msingi), ilikuwa ya kiwango bora, na anaifanyia haki
... vyeti vya kuhitimu, hususan ktk masomo ya elimu ya juu, ni jambo moja, lkn ujuzi na ukweli ktk mambo yanayohusika, ni jambo zuri zaidi
....ni kiongozi mwenye kufata kivitendo "mtazamo" wa wanamapinduzi, kina "Che"...'ongoza watu wako, ukiwa mbele yao, na iwe mwiko kuwaambia watu wako kufanya kile ambacho, we mwenyewe, sio tu unahofia/ogopa kukifanya, bali huwezi kifanya(kapigwa mabomu, sawia na wachimbaji wadogo anaowaongoza)'
...hakika, "Geita ya maendeleo", ikijaaliwa anzisha chuo kikuu chake, huyu, Joseph Msukuma, anastahili "honorary doctorate", chambilecho dokta Kabudi, "tena multi"....
 
Uzuri msukuma hana elimu inayohusu cheti hivyo suala la uhahikik vyeti halimuhusu.

Ila huyu jamaa anajua sana kuishi karibu na kiti cha ufalme. Nakumbuka alivyokuwa upande wa Lowasa wakati upepo wa ufalme unamwendea vyema, na pia nakumbuka alivyobadilika baada ya Lowasa kutoswa kiti cha ufalme. Kwa kifupi ni upuuzi kufikiria eti Msukuma ni mtetezi wa ufalme au kusema ni rafiki wa kweli
Zaidi ni mwanademokrasia anaeyumba na uhalisia anaouona na kuuamini...
 
He is right! Hawa waathirika wa kutumbuliwa wana matatizo sana na wanaongea kama watu ambao hawajaenda shule.
 
Msukuma ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa geita mkoa anaotoka Magu hata siku moja hawezi kwenda tofauti naye
Mbona mnakuwa vigeu geu kwenye mkutano wa ccm musukuma alikuwa kikaangoni na polisi walimkamata baada ya kutofautiana na magu

Nape ni mnafki tena mnafki haswa musukuma yupo sahihi
 
Back
Top Bottom