stigajemwa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 449
- 430
Wana bodi;
Rasimu ya Warioba ilitaka waziri asiwe mbunge bali iwe ni kazi ya kuomba na kuteuliwa kutokana na vigezo vya wizara husika.
Ubora wa jambo hili umethibitishwa na Nape pamoja na Kitwanga pale walipochangia ktk bajeti ya maji bungeni
Michango yao ilikuwa ni mizuri na ililenga kuishauri serikali na kuwatetea wapiga kura wao juu ya adha ya maji.Utetezi huu kwa wapiga kura wao ulishindikana kwa muda mrefu kutokana na wao kuwa mawaziri.
Kitwanga aliionya serikali kuwa asipoletewa maji jimboni mwake atakusanya wapiga kura wake kwenda kung'oa mradi wa maji uliojengwa jimbini kwake lakini ukipeleka maji jijini Mwanza
Nape yeye alitaka kukua kwa uchumi kuonekane katika kuboresha hudumaya maji jimboni kwake