Musukuma: Magufuli alikuwa rafiki yangu lakini alishaniweka ndani mara saba kwa sababu ya kuhoji tu utendaji wake!

Kasema ukweli kabisa. Baada ya kushindwa hawa vipusa vya wapinzani vikaja na agenda ya sukuma gang. Ki ukweli hakuna sukuma gang
wewe punga la ccm toka lini hilo lichama lako likawa na agenda kama umeme na maji hakuna miaka zaid ya 60 toka uhuru ccm ni chama au matapishi ambayo hata mbwa koko hawez kuyala.
 
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili

Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7

Msukuma amesema hakuna kitu kiñauitwa Sukuma gang ila hizo ni mbinu za Chadema kuigawa CCM ili waiteke Kanda ya Ziwa

Source Star tv The Big Agenda
Kampeni za kujipendeleza zimeanza

Marehemu anatwikwa kila aina ya ubaya

Kifupi mimi namshauri Raisi Samia 2025.ahakikishe anakuwa na watu team yake anaowaamini ili afanye kazi kwa raha Ndumila kuwili awapige chini wote kqenye uchambuzi wa majins

Majimbo yote nchi nzimab aandae watu wake

Hasidi haachi asili asiwaone hawa ndumila kuwili kama wa maana yeye pia waweza mgeuka mbeleni

Atengeneze timu yake mwenyewe ya reliable people anaowaamini yeye
 
wewe punga la ccm toka lini hilo lichama lako likawa na agenda kama umeme na maji hakuna miaka zaid ya 60 toka uhuru ccm ni chama au matapishi ambayo hata mbwa koko hawez kuyala.
Mbona kipindi cha awamu ya 5 chini ya Dkt Magufuli tuliweza???? CCM tunaweza sema tu imekuwa ngumu sana kwetu kipindi hiki kwa sababu wenye mrego wa ubwenyenye wamerudi serikalini. Ila amini hii kitu ni short term.
 
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili

Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7

Msukuma amesema hakuna kitu kiñauitwa Sukuma gang ila hizo ni mbinu za Chadema kuigawa CCM ili waiteke Kanda ya Ziwa

Source Star tv The Big Agenda
Ukimwambia.Msukuma atoe ushahidi kuwa Magufuli ndie alimuweka ndani na sio polisi kwa makosa yake utakuta hana

Sema na waandishi wetu wa habari vilaza walitakiwa kumhoji atoe ushahidi.kuwa Magufuli ndie alimuweka ndani kwa sababu ya kutofautiana naye ip?i hiyo kutofautiana n
 
Msukuma ni mbunge wa kudumu Geita
Wa kudumu kweli ila kuna NEC so lazima kidogo naye awe kigeugeu, ukiwa Sukuma Gang unaonekana adui kwa awamu hii na nazani safe mpya ya NEC umeiona karibia wote walikuwa against na Magu.
 
Mbunge wa Geita vijijini amesema Watanzania wampe muda Rais Samia wasimuhukumu kwa hii miaka miwili

Msukuma amesema Magufuli alikuwa rafiki yake lakini aliwahi kumtupa jela mara 7

Msukuma amesema hakuna kitu kiñauitwa Sukuma gang ila hizo ni mbinu za Chadema kuigawa CCM ili waiteke Kanda ya Ziwa

Source Star tv The Big Agenda
Magu was right, kuwa rafiki, ndugu au jamaa wa karibu wa Rais hakukupi HAKI ya kuingilia KAZI ya Rais Kwa maslah binafsi Kwa kigezo Cha urafiki binafsi na kiongozi mkuu.

Tuliona Musukuma alipompa ushahidi wa makinikia alikuja upande wa Musukuma na kumzamisha Muhongo.

Ajaye atakuwa wa aina ya Magufuli ila hatokuwa dictator.

Ameeeen.
 
Kwa maana hiyo anathibitisha kuwa watu wanswekwa ndani na Rais na siyo kwa makosa wanayoyafanya...!!
Msukuma na Gwajima hawana akili za kawaida. Anzia kwenye kujulikana kwao. Msukuma alidandia mbeleko ya Lowasa. Gwajima akaibukia kumfufua hamina.
 
Back
Top Bottom