Nayeye akifa?Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Vipi alieondoka huyu hakua na share nyingi? Kama alikua anazi share nyingi warithi wake watazichukua na kuendeleza pale walipoishia..Ile ni kampuni babu....kuna kitu kinaitwa perpetual succession.....hakuna wasi wasi hapo...kampuni inasimamiwa na ma director....mwenye share nyingi ndio muamuzi wa mwisho
Inategemea na corporate governance ilivyo IPP. Mfano ni nani mwenye umiliki mkubwa wa hayo makampuni na je mzee alimuandika nani mrithi wa hayo makampuni? Je zile love davyy za bibie zilimaanisha kilikuwa kipindi cha kuandika wosia/urithi? Hili ni suala gumu kulizungumzia kwa sasaNashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Regina ndyo nani?Sijui kama aliwa duplicate wanaye. Maana kina Regina sidhani kama viatu vya baba yao vitawatosha
Apewe wa kiume. Unampaje mali mtoto wa kike japo watoto wake hawana shobo kabisa mjini.