Must listen. A best song ever

Must listen. A best song ever

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
803
Reaction score
472
OKAY!

Ha
pa ndipo alipo COPY bwana mdogo BEN PAUL - JIKUBALI

Last edited by a moderator:
kumbeee? yule dogo nilidhani ni kichwa kumbe nae ni kupaste kwa kwenda nyuma?
 
Baada ya hii copy and paste ya Wall of Fame, yule dogo nilishamtoa kwenye list ya wakali wa RNB bongo, kuna uwezekano hata nyingine ana-copy vile vile..
 
Mbona alishaelezea lakini uhalisia wa hiyo nyimbo na kwa nini alikopi. Its a common practice in a world of music today. Hamna jipya. Buying copyright na kuitengeneza upya its a normal thing.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo kwenye red, naomba ufafanue...

Im more than 100% sure kwamba hakufanya mazungumzo yoyote na wamiliki wa huo wimbo.
 
Back
Top Bottom