mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Tumesikia vyombo vya habari kuwa eti yanga aligoma kwenda daful.najojua nchi ya tanzania iliizuia kwenda huko na kama anaipa adhabu hiyo inamaana ameidharau serikali yetu.
kwa maana hiyo adhabu hiyo ikipewa yanga na serikali ikanyamaza kimya itakuwa mtawala wetu ni musonye
kwa maana hiyo adhabu hiyo ikipewa yanga na serikali ikanyamaza kimya itakuwa mtawala wetu ni musonye