Musoma wameikataa CHADEMA, hali ni mbaya

d8308f6709f36587e0f125c601e5fadd.jpg
 
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.

Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.

Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.

Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.

Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Wakati huyo msaliti anarudi kugombea urais mwaka 2020 na akazunguka nchi nzima na kufanya mikutano hadi usiku alihakikishiwa na nani usalama?

Huyu mke wa Amsterdam anadeka sana alafu muoga tu.
 
Chawa,Malaya wa kisiasa ,Lumumba huku 7 na ndugu wa Marehemu wa Magufuli .Uliiona nyomi ya Musoma ?
 
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.

Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.

Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.

Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.

Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Wewe jamaa nenda katibu hayo maradhi ya akili yaliyotokana na homa ya jiwe kuanguka na kusambaratika! HE IS NO MORE Just move on bro!
 
22 January 2023
Tarime mjini
Tanzania

TARIME MJINI KWA HAMU KUBWA WASUBIRI MKUTANO WA HADHARA 23 JANUARY 2023,

Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime mjini kamanda Bashir Abdallah atoa up dates za matayarisho ya mapokezi ya viongozi wa kitaifa .

Barua imeandikwa na kupelekwa Polisi na imejibiwa hivyo CHADEMA itapewa ushirikiano wote kufanikisha mkutano wa hadhara wa Tarime mjini.
 
23 January 2023

HALI ILIVYO TARIME MJINI LEO TAREHE 23 JANUARY 2023

Viwanja vya Shamba la Bibi katika halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara Tanzania.

Tayari Mwenyekiti taifa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe na msafara wa viongozi wa chama wamefika katika ofisi za CHADEMA mjini Tarime kuongea na wazee wa Tarime mjini.

Mkutano wa hadhara na wana wa Tarime mji pamoja na taifa kwa ujumla unafanyika katika viwanja vya Shamba la Bibi katika halmashauri ya Tarime mjini.
 
Vijana wa mkoa wa Mara wafikisha ujumbe kuwa Katiba Mpya ni muhimu.
 
Hakika mataga hayajawahi kuwa na akili

Back
Top Bottom