Prof alvin
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 146
- 486
ccm jengeni hoja matusi na kebehi hayajengi chama chenu leteni ushawishi wa kuvuna wanachama na sio kuhonga wanachama.
Ndugu wa "MAREHEMU"Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Jana ulipita viwanja vya Furahisha ukakuta watu wachache Sana lkn jioni ukakimbia Uzi wako. Leo tena umepita Mkendo. Na wewe uko kwenye ziara ya CHADEMA?Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Kama kuna anayekulipa amekula hasara.Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Vice versa is true, Ndugu countrywide.Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Kweli kabisaa,majnuni namba Moja alimpiga marufuku mikutano ya SIASA.ila yule majnuni alizidu mwee.majnun magufooliSasa kuna mwananchi mwenye akili timamu akapoteza muda wake kujadiliana na majnun? Chadema wapo na wanajadili na watu wenye akili timamu kama Rais wetu, na ukiona huwasikii wakiongelea mikutano yao mbele yako ujue wamekupuuza kama walivyowapuuza chawa wengine.
22 January 2023
Musoma, Tanzania
LIVE: Mkutano wa CHADEMA Musoma uwanja wa Mkendo
Source : The Chanzo
N.B
TAKWIMU muhimu kuhusu mji wa Musoma mkoani Mara nchini Tanzania :
Idadi ya Watu = 134327 soma zaidi Source : Takwimu
Jana asubuhi mlisema mwanza hali mbaya sjui mliishia wapiBaada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.
Mwanza hao walikuwa wachache sanaMwanza Mlisema Propaganda Watu Wakajaa Tele