Musoma Mjini tunamtaka Vincent Nyerere arudi 2020

Marwa Chacha

Senior Member
Feb 5, 2015
102
51
Ni mwaka sasa sisi wakazi wa Musoma Mjini hatujaona muendelezo wowote wa maendeleo chini ya utawala wa CCM. 2020 tunaweza kufanya mabadiliko kumrudisha Vincent Nyerere madarakani.

Kwa miaka mitano aliyoshika madaraka hapa tuliona mengi mazuri aliyofanya. 2020 hatutafanya makosa tena.
 
Kwa chama gani sasa? Kama ni ccm sawa sio chadomoo naamini hata yeye hatokubali kurudia kosa.
 
Ni mwaka sasa sisi wakazi wa Musoma Mjini hatujaona muendelezo wowote wa maendeleo chini ya utawala wa CCM. 2020 tunaweza kufanya mabadiliko kumrudisha Vincent Nyerere madarakani.

Kwa miaka mitano aliyoshika madaraka hapa tuliona mengi mazuri aliyofanya. 2020 hatutafanya makosa tena.

Wanafiki wakubwa nyie!!!! mlidanganywa kwa TShirt na Peremende mkatoa mbunge wenu, sasa mnajifanya kuona tofauti ya kimaendeleo. Tatizo nyie majungu,unafiki na fitinia ni tabia zenu watu Musoma pamoja na ndugu zenu wa Ukerewe.
 
Wanakera sana hawa watu
 
Back
Top Bottom