Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Wasalaamu wakubwa na wadogo siku ya leo imenibidi nitembele maeneo ya musoma mjini sasa nipo nagoogle map maeneo ya kusafisha macho kwa wenyeji mnaweza nipa muelekeo wa maeneo muhimu ikiwezekana niwe kwenye kumbukumbu yangu ahsanteni.
