Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu,,
Nawasilisha,,
Baada ya tarifa hii nimejaribu kuwasiliana na watu waishio maeneo tajwa. Watu zaidi ya 10 mitaa tofauti tofauti. Kila mmoja ananishangaa na kuniuliza nimeokota wapi habari hizi.

Kufanikiwa kuzima maandamano by police wa TZ ipo determined na idadi ya watakaojitokeza. Experience yangu ya 29 october, waandamanaji hawakuwa wengi lkn waliitoa kamasi jeshi la polisi. Vilikuwa vikundi vya vijana wasiofika hata 100, wakiwa maeneo tofautitofauti. Najaribu kufikiria kama idadi itakuwa mara 2,3,4......
Tulikuwa tunafanya warm up na tumefanikiwa kupma kuona hawa wasiojulikana tutakabiliana nao vp pia kujua wamekuja na jipya gn yego tumegundua mbnu zao ni zlezle mura sasa watatukoma tata.