muslims tv [tv - imaan]

muslims tv [tv - imaan]

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
kwa waislamu habar kwenu leo nlikua nascan receìver nkapata chanel ya kiislam Tv Imaan ila ipo in TEST TRANSMITION..

Use this transponder 3780 v 1667
 
na mimi nimeipata ahsante sana mkuu
 
nimeiscan naikupata thax

Poa !

na mimi nimeipata ahsante sana mkuu

Sawa wakuu ila hii saut znaingiliana hv dizain kama ile tv ya mozambiq inayoitwa TIM mm kwenye recever yetu huwa na change chanels kwa kuclic audio pale af nachange kwa kuweke either left au right

Nyie mnatumia trick gani
 
Mbona hiyo ipo siku nyingi yapata kama miezi sita sasa.Pia ipo Citizen ya Kenya kwenye degree 68E zilipo zile chaneli za kinigeria kwa frq12578/3100
 
kwa waislamu habar kwenu leo nlikua nascan receìver nkapata chanel ya kiislam Tv Imaan ila ipo in TEST TRANSMITION..

Use this transponder 3780 v 1667

ahsante sana kwa taarifa nzuri!
 
jamani kwenye king'amuzi cha startimes ipo ?
 
Mbona hiyo ipo siku nyingi yapata kama miezi sita sasa.Pia ipo Citizen ya Kenya kwenye degree 68E zilipo zile chaneli za kinigeria kwa frq12578/3100

Mm ndo nmeipata leo c unajua huwa nakosa mda wa kucheza na receiver
 
Mbona hiyo ipo siku nyingi yapata kama miezi sita sasa.Pia ipo Citizen ya Kenya kwenye degree 68E zilipo zile chaneli za kinigeria kwa frq12578/3100

hio Citizen mi Siipati inakuje nikiweka hzo freq ninyi bado mwaipata?
 
kwa waislamu habar kwenu leo nlikua nascan receìver nkapata chanel ya kiislam Tv Imaan ila ipo in TEST TRANSMITION..

Use this transponder 3780 v 1667

Kwenye Azam TV 7E unaipataje?
 
Back
Top Bottom