Muslims angry at Museveni over Cabinet posts

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
247
A cross section of Muslims loyal to Mufti Sheikh Zubair Kayongo, has urged its followers to shun all government functions, over maginalisation.

Their anger stems from the “few” ministerial positions offered to Muslims. At a meeting convened by the College of Eminent Sheikhs at Kibuli last Thursday, they resolved: “We are aggrieved and extremely dissatisfied with the way President Museveni distributed ministerial posts as we hardly got any influential positions besides one Cabinet minister and four state ministers despite an enlarged Cabinet,” read their statement.

Besides Cabinet, they also fault government for minimal representation in statutory bodies, and commissions. The meeting, chaired by Sheikh Obedi Abdu Kamulegeya, raised concern over the slots of Vice President and Prime Minister, which they said only go to other religions.

Whereas the sheikhs were angry with the rejection of Mr Nasser Sebagala as minister without portforlio, Sheikh Kamulegeya, distanced himself from the outcry. Asked if the resolutions bind the Old Kampala sect, Kamulegeya said, it applies to all Muslims.

Efforts to talk to presidential press secretary, Tamale Mirundi were futile as his phone was switched off
 
Haya mambo bana,mm nilifikiri ni tz tu kumbe nji zote za kiafrika zina mambo ya kijinga kama haya,,...hivi kumteua mtu ili awe kiongozi uanze kuangalia dini yake,.....anyway sipingi kama wapo waislam au wakristo wanaofaa kuongoza kuteuliwa,suala hapa ni kuleta argument basing on dini..na hapo ndipo naona ni upuuzi usio na maana,..anateuliwa mtu anyeweza kazi na sio kuweza kazi tu bali yule ambaye unaweza kufanya naye kazi ili kufikia malengo mliyojiwekea kama nchi.
 
Haya mambo bana,mm nilifikiri ni tz tu kumbe nji zote za kiafrika zina mambo ya kijinga kama haya,,...hivi kumteua mtu ili awe kiongozi uanze kuangalia dini yake,.....anyway sipingi kama wapo waislam au wakristo wanaofaa kuongoza kuteuliwa,suala hapa ni kuleta argument basing on dini..na hapo ndipo naona ni upuuzi usio na maana,..anateuliwa mtu anyeweza kazi na sio kuweza kazi tu bali yule ambaye unaweza kufanya naye kazi ili kufikia malengo mliyojiwekea kama nchi.

Maneno yako ni sawa lakini jee hao walioteuliwa na Museveni ni kweli kawachagua kwa sifa zao????

Uelewe kuna ajenda ya siri hii hapa

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere
 
Maneno yako ni sawa lakini jee hao walioteuliwa na Museveni ni kweli kawachagua kwa sifa zao????Uelewe kuna ajenda ya siri hii hapaGazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere
Kwa hiyo kila kinachoandikwa kwenye gazeti wewe hukiamini tu mradi kiwe na maslahi ya uislam? Bila kujua kimeandikwa na nani kwa wakati gani, lengo gani au kashawishiwa na nani? Huo ni ufinyu wa kifikiri na kupambanua mambo. Pole
 
The best way would have been to put the true facts as who are the majority Muslims or Christians??
The chosen ones are they qualified or not?? Are there qualified and more able Islams than the chosen Christians??
That would answer if indeed the allegations are true or not true... but of course unfortunately the heading
is that Muslims angry... there is no chance that they will be adhered to.
 
Kaka utawasaidia watu hawajaenda shule kazi yao ni kujiripua tu na mabomu na kulalamika,na muda wote ni kuwaalaani watu wa magharibi mfano mzuri syria,yemen kote huko machafuko utasikia hao ni wamarekani ndiyo wanasababisha
 
inasikitisha sana kuona watu wanavyo kumbatia na kutaka kuchochea udini, yaani wanataka uteuzi wowote dini 50% kwa 50%, madhehebu 50% kwa 50%, jinsia nusu kwa nusu, makabila nusu kwa nusu, jamani ndo afrika yetu, je kwa mtindo huu tutafika???
 
Muslim leaders in Uganda are unhappy with the composition of the new cabinet, which they say has very few Muslims, moreover in insignificant positions.
They say this is a continuation of their marginalisation and some have resolved not to attend any government event until they are treated like other citizens. The College of Eminent Sheikhs of Uganda voiced their displeasure at a press conference at Kibuli Mosque recently.
“We are aggrieved and disappointed in the government that the Muslims hardly got any serious ministerial posts. We are perceived as [insignificant] people; so, there is no value in Muslim leaders participating in government functions until the government recognises us,” said Hassan Kirya, spokesman of the Kibuli faction.
He said they would write to the government to express their dissatisfaction. Sheikhs and Imams were asked to tell Muslims in mosques about the unfair distribution of ministerial posts and the continuing injustice against them, and to seek views on the way forward. Muslims will also conduct Kunut (special prayers) every Friday to petition God on the matter.
Of the 74 ministers President Museveni named, six are Muslim. They include two full ministers (Gen Moses Ali and Syda Bbumba) and four ministers of state (Asuman Kiyingi, Lukia Isanga Nakadama, Sulaiman Madada and Jeje Odongo).
The Muslim leaders say they were humiliated by the appointment of people who lack the required academic qualifications or have criminal records, yet they (leaders) could have proposed well educated, decent and capable alternatives had they been consulted.
 
Tatizo kubwa sana la UDINI ... lakini mawaziri 74 kwa kazi gani? Museveni unaiua nchi kwa mikono yako mwenyewe!
 
he firstly came into power from the bush/forests, saw what do u expect such a man to behave like for musilms?
 
Back
Top Bottom