neo1
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 576
- 844
Hawa walikuwa na watu wanajua kutengeneza ngoma nzuri saana.
Ila maisha yanaenda kasi saana kwa sasa ni watu tofauti wenye mtazamo tofauti na pengine chuki.
Kwangu ndo ngoma bora toka kwao.Japo sio mpya ila haijawai kunichosha.
Japo haikuwai kuwa na umaarufu ila huwa naiimba ndani ya moyo na kunikumbusha kuna siku ya mwisho.
nilikuwa nautafuta toka mwaka 2014 ila leo ndo nimeupata,niliwai kukutana nae nikamuomba akasema machine yake ina virus ivyo imekula file nyingi hana uhakika kama bado atakuwa nao.
huu wimbo nadhani ni toka 2006 au 2007, ilikuwa ni wimbo kama wa 3 toka aanze kuimba musiki.
ndo zawadi nzuri ya Christmas tupate muda wa kutafakari.