Musichezee mlango

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
Muarabu mmoja alikuwa napita sehemu fulani saa mbili usiku, akawaona watoto wanapenyeza vidole vyao baina ya shata na frame ya mlango wa nyumba yao,yule mwarabu akawakataza wale watoto kwa kuwaambia ''MUSICHEZEE MLANGO TOMBANE KUCHA."Akiwa na maana kwamba wasichezee mlango utawabana (kucha) vidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…