Musichana Murembo kama nini........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musichana Murembo kama nini........!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Oct 21, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Jamani leo nimemkumbuka Daudi Kabaka, enzi hizo ndio nilikuwa namchumbia mama Ngina wangu………………..

  Hebu sikiliza huu wimbo basi……………………..LOL

  Musichana wa suraa nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
  Elimu unayo ya kutosha, hata Ng'ambo ukaenda ukarudi

  Tara tata tara tata tarata tarattraaaaaaaaaaa………………. X 2

  Musichana wa urembo kama weweee, uonyesheee mapenzi kwa vijana
  Ukionyesha majivuno kwa vijanaaa utazeeka ukiwa nyumbani kwenu

  Oooh baby

  Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka

  Oooh baby.............

  Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka

  Tala talaaa tili li liiiiiiiiii Tala talaaa tili li liiiiiiiiii x 3

  Pengine tabia zako ndizo mbaya, awali kweli dada ulijivuna
  Kwanza mimi nilitaka nikuoee, ukaringa hadithi na masomo

  Oooh baby.............

  Onaa watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika

  Oooh baby...........

  Onaa watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika

  Tara tat ta ta tat a ta t taaaaaaaaaaa x 4

  Musichana wa suraa nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
  Elimu unayo ya kutosha hata ng'ambo ukaenda ukarudiiiiiiii

  ****Nawatakieni weekend njema..............................****
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ujumbe umefika mkuu. I like the song.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mtambuzi bwana... Haya,asante kwa ujumbe
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Rejao hebu niambie, enzi hizo ulikuwa na umri gani........?
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hivi ushaandaa staftahi kweli........!~ Baba yako leo nimeamka kivingine........LO
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli song hili ni balaa tara tara traa taraaa..
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hata wewe umeona eh! yaani we acha tu................ Uzee huu!!!!!!!!!
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahah Mtambuzi so ukiwa murembo na kuonyesha mapenzi kwa vijana, unaolewa?! Kabaka bwana

  Aksante Mtambuzi
   
 9. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Huu wimbo ndio uliosababisha nimpate mama Ngina.................
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa baba,mbona unahamishia majukumu ya mama kwangu? Mie leo napiga deshi,msinihesabu

   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha. Ulikua unamtishia kuwa na uremboi woote asipokuchangamkia atadoda,lol.
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umefika kwa naniiiiiii??????
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo Mama Ngina baada ya kusikia huu wimbo akaogopa kuwa asije akazeekea nyumbani!
   
 14. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Yeah... Zamani sie tulikuwa tunatumia nyimbo kutongozea banaaa..........................
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Si kwako, wewe unadhani itakuwa kwa nani?
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  enzi za mwalimu!!!
   
 17. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi tayari last wk ila usimwambie mtu
   
 19. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  We Digna kumbe mtundu hivi............................ Kwanza habari za siku, je mwanao hajambo?
   
 20. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Sijambo Mtambuzi, na wanangu wote hawajambo. Ukitaka na mwingine we sema tu nakumuvuzishia.
   
Loading...