Shikamoo baba!Jamani leo nimemkumbuka Daudi Kabaka, enzi hizo ndio nilikuwa namchumbia mama Ngina wangu………………..
Hebu sikiliza huu wimbo basi……………………..LOL
Musichana wa suraa nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha, hata Ng'ambo ukaenda ukarudi
Tara tata tara tata tarata tarattraaaaaaaaaaa………………. X 2
Musichana wa urembo kama weweee, uonyesheee mapenzi kwa vijana
Ukionyesha majivuno kwa vijanaaa utazeeka ukiwa nyumbani kwenu
Oooh baby
Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka
Oooh baby.............
Miaka yaenda mbio sanaaa na sura yako nayo ikichujuka
Tala talaaa tili li liiiiiiiiii Tala talaaa tili li liiiiiiiiii x 3
Pengine tabia zako ndizo mbaya, awali kweli dada ulijivuna
Kwanza mimi nilitaka nikuoee, ukaringa hadithi na masomo
Oooh baby.............
Onaa watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika
Oooh baby...........
Onaa watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukihangaika
Tara tat ta ta tat a ta t taaaaaaaaaaa x 4
Musichana wa suraa nzuri, ni kitu gani kinakufanya usiolewe
Elimu unayo ya kutosha hata ng'ambo ukaenda ukarudiiiiiiii
****Nawatakieni weekend njema..............................****
Kuna ule unasema Embe Dodo....................
Nilikuwa napita tu baba nikaona si mbaya kukusalimia!Marhaba mwanangu..............kumbe na wewe unasoma mambo ya wakubwa!
View attachment 39576
Na nyengine hiyo kaka. Sijui hawa kizazi kipya waliwajibu wale zilipendwa wa Musichana Murembo? Mie huzisikiliza hizi na wanangu hucheka sana wakatikisa vichwa wakiziona hazifai, kisha huniwekea za kwao, mdundo wa computer (kumbuka zimerekodiwa studio) hadi kuta zinatikisika "Ndu, Ndu, Ndududu!" wakisema hizo ndizo nzuri ati muziki umechujwa vema. Nawaambia hata hiyo miziki yao wameigiza ustadi wa wale watu kwa vyombo vyote wakaviweka kwenye computer. But enzi hizo watu walizaliwa na vipaji vya kukung'uta vyombo vya muziki. Haya kaka, burudika ukitaka ingine kama ninayo sema nikushushie.
We mkali na kuku bali... Ijumaa njema

Digna, hawa waliibilizia bana, nataka ule orijino kabisa.....................
mamyy upo!?shikamoo baba!
naona faasta akadandia train isije ikamuachaKwahiyo Mama Ngina baada ya kusikia huu wimbo akaogopa kuwa asije akazeekea nyumbani!