Habarini wadau,
Kijana mwenzenu nimezichanga nataka kua na mziki wa hadhi nyumbani kwangu. Kwa budget ya 1.5m naombeni mnishauri music system gani itanifaa kwa matumizi ya nyumbani. Ukiongeza na duka nitakaloukuta itakua poa zaidi.
Naombeni kuwakilisha.