Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

Si mtetei mimi mwenyewe kuna watu wachache wananitegema shughuli yake naiona. Au ww hauna wanao kutegemea ndio maana unajiongelea husiwaone wakina AY,FA na Ommy kukaa pembeni sio wajinga.

Halafu umzungumiza mshikamano ,bongo kuna mshikamano? Au mmesahau timu Kiba,team Konde,team Mondi na baadae media zikachagua upande wa kusapoti team ipi Mondi akapambana mwenyewe,hapo bado hujawa zungumzia Vinega na Clouds. Ulisha sikia Naija kuna team?Maana unazungumzia industry mbili tofauti,nature ya Industry yako na Naija ni tofauti.

Mondi kuvimba ni haki yake sababu walimtenga basi.Uliye okota nae kuni ndiye wakuota nae moto. Halafu Mondi mwenyewe ukimtizama sasa hivi mlengo wake kwenye mziki sio wa kufanya hayo makubwa na muona anajikita kwenye biashara,halafu biashara zina hela kuliko mziki anaweza kufungua hata kampuni ya vinjwaji brand ya WCB na akapiga hela bila kupanda jukwaani.Halafu makubwa si lazima afanye yy kwani mpaka alipo fikia ni pakubwa wengine watakuja kuendeleza,hata ww unaweza kufanya.
 
Kumbe
IDADI ya watu ndio kigezo cha muziki kuwa mzuri na kuvuma!

Mbona south Africa wana IDADI almost na sisi na wana Amapiano inasikika Dunia nzima.

Tangu tunakua tunacheza KWAITO.


Kigezo cha IDADI ya watu sio kigezo namba Moja cha muziki kuvuma. China na India zina watu zaidi ya Bilion 1 Kila nchi mbona muziki wao hauhit kama Nigeria? Au unadhani wao hawana muziki ?
 
Mondi kawabania wakina BabaJuni yule dancer wake Hadi wametoroka wako zao Marekani.


Nenda kafuatilie vizuri sababu ya wao kutoroka wcb mkuu naamini utakuwa unajua!


Ila ile sababu ikiwekwa hapa tutakimbiana!
 
Si tulisema tatizo alikuwa ruge jamani anawabania wasanii na kuua vipaji? Au shida nini tena.
 
Mondi anlaumiwa mno.... Mabaya yote yake. Hana zuri hata moja.

Ubinadamu kazi isiyo na mshahara.
Kwa sababu aliyekuwa analaumiwa awali Ruge ashafariki. Jamaa alilaumiwa kwa kila kitu kuanzia hata wasanii ambao hawakuwa relevant kama akina Suma G na dudubaya ambaye sasa hivi nikisiliza nyimbo zake nagundua kweli sijui ahata alikuwa anaimba nini japo nlikuwa namkubali zama zake.
Kila zama lazima awepo wa kutupiwa lawama ni hulka ya binadamu.
 
Tu conclude kuwa wabongo tuna fitna na wivu wa maendeleo, period. Naona hiyo ndo main point.
 
Si tulisema tatizo alikuwa ruge jamani anawabania wasanii na kuua vipaji? Au shida nini tena.
Ndio ila ameinua wasanii wengi tz.
Kwanini wenye media bado wanafuata nyendo zake? Ndo maana muziki uko stagnant.
 
Ndio ila ameinua wasanii wengi tz.
Kwanini wenye media bado wanafuata nyendo zake? Ndo maana muziki uko stagnant.
Kwangu mimi ni bora kuliko wa sasa. Maana vipaji vingi viliibuka na walivipa support hasa kwenye super nyota. Kulikuwa na battle za free style wakaibuka akina niki mbishi akina godzilla.
Siku hizi vitu hivi si sana
 
Fact.
 
Tu conclude kuwa wabongo tuna fitna na wivu wa maendeleo, period. Naona hiyo ndo main point.
Kuna siku Vanessa Mdee aliuzwa why Naija wanafanya vizuri alitoa jibu moja zuri sana. Alisema Wanaijeria washika dau wote wa nje na wa ndani wanapendana na wanashirikiana,pili wafanya maamuzi kwenye hizi media kubwa ni wao anzia MTV,BET,Trace wamejazana wao na ni wabinafsi,MTV playlist sasaa nzima asilimia 60+ nyimbo zao.

Ukitizama mziki wa bongo, watu wanatoboa kwa nguvu zao binafsi, AY alipoanza hustings za mziki wake kuenea EA,alikuwa anapanda mabasi kwenda UG na Kenya, Katengeneza network akatoboa EA.Diamond baada ya kuikamata EA,pamoja kubaniwa na kutengwa kupambana mwenyewe katoboa Africa. Ukiangalia mziki wa bongo unafight kimpango wako watu wanakutizama, ukitoboa wanaanza kukuambia husaidii mtu.
 
Nikiwa Kama retired mdau wa bongofleva,,kijana akiwa na mipango na kipaji na utandawazi huu, rahisi Sana kutoboa,Tena raisi Sana..
Kipaji bila management ni kazi bure. Kuna vitu vingi kwenye tasnia social media na utandawazi sio kigezo thabiti cha msanii kutoboa
 
Vanessa mdee ni bonge la artist ila ndo ivoo mikikimikiki ya ujinga wetu na egoism za kibongo vilimshinda. Akajiengua mapema. Umeongelea BET MTV na hizo platform zingine kuna mda Vanessa nae alikuwemo enzi zake, mondi pia wakati WCB iko moto alikua hakosi humo, kuna kitu naona wabongo twapaswa kujifunza. Unity is strength! Hauwezi kufanikiwa peke ako, mm naona hata wanaigeria wameshatusoma jinsi tulivyo ndo maana hawa collaborate na sisi. Sio kwamba hatujui, ni vile tu ujinga na majivuno. Kingine wasanii wakubwa kutoka nje sio kwamba hawajui muziki wetu, ni vile tu wanaogopa kubeba mijitu isiyo bebeka. Mziki mzuri hauna boundaries.
 
Wekezeni kwa nguvu kwa vijana wadogo.
Watu wakiwekeza kwenu mkishatoboa mnasahau mnaanza kiwavimbia, Harmonize alisahau kabisa kuwa watu waliwekeza kwake, Hakuna msaada kuna uwekezaji mlijue hilo kwanza.
 
Naija hacollaborate na taifa lolote,hao majirani zao Ghana wanawakaushia,mwaka jana Shatta Wale aliwaponda kwa ubinafsi wao.
 
sipingi mawazo yako. mbona kama lawama zinaenda kwa mond . mbona wasanii wakubwa tz wapo wengi tu. si lazima afanye mond peke yake,
 
Naija hacollaborate na taifa lolote,hao majirani zao Ghana wanawakaushia,mwaka jana Shatta Wale aliwaponda kwa ubinafsi wao.
To some extent nakubali, wanakaubinafsi ila wao kama wao wameshikana na ku support kazi zao. Ila mbona kama sarkodie anafanya nao kazi sana? Vp kuhsu wakina libianca, kina sherrif, mbona kama wanafanya nao kazi. Ila yote kwa yote wanatufundisha kushikamana kama taifa. We should learn from them wanatunza kilicho chao.
 
Wanafanya nao ila kwa mbinde,hata Airtime hawapati kivile.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…