GE2025 Musiba: Inasikitisha CCM kinachoangaliwa zaidi ni kujuana, wanaachwa watu wenye maono mazuri na kupitisha watu bila kupingwa

GE2025 Musiba: Inasikitisha CCM kinachoangaliwa zaidi ni kujuana, wanaachwa watu wenye maono mazuri na kupitisha watu bila kupingwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe

Pia amehusia baadhi ya viongozi kuchaguliwa bila kupingwa na baadhi ya viogozi kushikilia madaraka kwa muda mrefu

Hakuna mtu mwenye MAONO MAZURI KUTOKA CCM.
Kuna Kubadilisha AINA YA WEZI TU, WANAIBA KWA AWAMU
 
Fursa ya kupewa nafasi ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM ni muujiza kwa vijana wasio na chochote.
Kwanza utapenyaje.

Yaani ili upewe dhamana ya kugombea kupitia CCM LAZIMA uwe kigezo kimoja kati hivi au vyote.

1. Uwe na Kipato cha kutosha kuhonga wajumbe kuwazidi watia nia wenzako.
2.Uwe ni mbunge unayetetea jimbo lako
Kulikomboa jimbo ni mchakato mwepesi kidogo.

3. Atleast uwe ndugu wa Kiongozi wa CCM ama aliyepo leo madarakani au aliwahi kushika nyazifa serikalini au kwny chama.

4. Uwe na Umaarufu kwenye jamii.
Yaani ukikosa yote basi ubebwe na kete ya umaarufu kupitia Sanaa, muziki, au utangazaji.
 
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe

Pia amehusia baadhi ya viongozi kuchaguliwa bila kupingwa na baadhi ya viogozi kushikilia madaraka kwa muda mrefu

Ndo unayafahamu haya Leo wewe Koko si ulikuwa unachonga ngenge wewe una laana ya mamako nenda kule kamwambie mange kimambi uone atakavyo ku💩💩💩💩💩💩
 
Back
Top Bottom