Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

Kwahiyo MUSIBA alitoboa kwa TINDO yale matundu 38?maana risasi anasema ni za mpira.

Cyprian musiba anawadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha anajiona kuwa ana Akili wakati ni mbumbumbu juha wa kutupwa
 
Mda umewadia wa vijana wa chadema kujitoa muhanga wamsake cyprian Musiba wamtandike bakora na konzi xa kutosha apate fundisho
 
Hivi mnaomjua kwa karibu huyu jamaa yuko sawa upstairs. Sidhani kama kuna watu walio sawa wanamsapoti huyu ndugu.
 
Hivi mnaomjua kwa karibu huyu jamaa yuko sawa upstairs. Sidhani kama kuna watu walio sawa wanamsapoti huyu ndugu.

Cyprian musiba ni punguani yafaa vijana wa chadema wamsake popote alipo achezee kichapo cha haja ndipo ataacha ungese wake
 
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

.. naforward tu maana hakuna anachoongea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana timamu zake na yupo mtu anamfurahia na kuwa sponsored jamaa kapewa mpk bodyguard na harrirer new model 2017.

Watu wamekaribia kuchoka na upumbavu wake ajiandae na huyo bodyguard kwani siku wakiamua hataweza kumlinda
 
Cyprian musiba anaweweseka kwa kuwa roho inamsuta baada ya kushiriki kwenye shambulio la kutaka kumuua Tundu Lisu kapagawa amejitoa fahamu anaongea kipunguani pasipo kutafakari kwanza ni aibu kwa CCM kumtegemea fala kama msiba kuwa mtetezi wa CCM
 
Siwezi poteza mb zangu kwa kumwangalia kichaa, ni bora nizitumie kuangalia katuni
 
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo

Mkuu,
Nashkuru kwa kuliona hili! huwa najiuliza ivi mtu anaekubalije kusemewa/kutetewa na mtu kama huyu? Hivi haoni kama huku ni kumshushia hadhi yake? Linaloniudhi zaidi ni vile kutuchukulia watanzania hatuna akili!! Kwa maoni yangu huyu anatudhalilisha na kutudharau sana kupitilia!....kwamba hatuna uwezo wa kuchanganua mambo kiasi hiki!!?? kwa kweli anatia kichefu chefu!
 
.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo
Hi Hoja namba 4 ndio imeniacha hoi kabisa, mwanzoni anasema Lissu hakupigwa risasi, hapa tena Lissu kapigwa risasi na amekua KILEMA, now which is which!!!!!!?Yanga walifanya vizuri sana kulikata hili BOYA
 
Musiba sio chizi, wala mwendawazimu.. Ana akili zake timamu kabisa.. Musiba ni matokeo ya vikao vilivyokaa na kuangalia jinsi ya kupambana na upinzani kwa upande wa propaganda.. Kama vile vikao walivyokubaliana kuwatumia polisi kupambana na upinzani, huyu Musiba ni zao la kuleta mapambano kwenye mitandao ya jamii.. Kama vile walivyo buku 7 Fc, huyu anatumika zaidi kupitia kwenye gazeti ambalo wanaamini wasio na access na net wanaweza kupata hizi habari kule..

Yote anayoyafanya yamepata baraka tokea juu, yeye amekuwa kama spika tu la msikiti, linatoa sauti toka kwa mtoa adhana..
 
Back
Top Bottom