Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja

britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
11,918
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
11,918 2,000
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo
 
dansmith

dansmith

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
2,202
Points
2,000
dansmith

dansmith

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
2,202 2,000
Nashangaaa anayetetewa na huyuu mtu amekaaa kimya kumwacha aongee upuuzi wacha na mimi nikae kimya kwa maana ndege wafananao?
 
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
4,332
Points
2,000
mzamifu

mzamifu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2010
4,332 2,000
Cyprian musiba anaweweseka kwa kuwa roho inamsuta baada ya kushiriki kwenye shambulio la kutaka kumuua Tundu Lisu kapagawa amejitoa fahamu anaongea kipunguani pasipo kutafakari kwanza ni aibu kwa CCM kumtegemea fala kama msiba kuwa mtetezi wa CCM
Kama punguani, eti unasema mtu nishoga, eti alikuwa chumaba kimoja ma mzugu! hii mipasho ya kishangingi haswa, kuna mengi ya kumsema TL, sio kumsingizia ushoga huo ni upunguani na wanaomsikiliza wanakuwa kundi moja!
 
Fernando Jr

Fernando Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Messages
1,754
Points
2,000
Fernando Jr

Fernando Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2017
1,754 2,000
Nimepitia comments zote kwenye hiyo clip kule YouTube, watanzania wengi bado ni wajinga sana! Hawawezi kuchambua anayoyaongea huyo mpumbavu. Akisema Lissu shoga wanakubali, akisema sasahivi mambo safi ndio maana vyuoni hakuna migomo wanasema yes! Bila hata kujiuliza hiyo nafasi ya kugoma na ukabaki salama sasahivi ipo au tunaishi tu kama digidigi!?

Aliapa kupambana na CHADEMA hadi ife, leo hii anaishauri iwe makini na Zitto kabwe (asije kuiua), wao wamo tu kumpongeza! Anasema shambulio la Lissu ni feki, wajinga hao wanafuata tu! Na ujinga mwingine mwingi sana!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya JF na fb, WhatsApp, YouTube etc!

***Abhasubhi twemanye***
 
Akasankara

Akasankara

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2015
Messages
2,098
Points
2,000
Akasankara

Akasankara

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2015
2,098 2,000
ccm wote wanamtegemea MUSIBA kwa hoja za KIJINGA
 
soine

soine

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
1,435
Points
2,000
soine

soine

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
1,435 2,000
Hatari kabisa!!! Kwa hisani ya NMB, TANESCO, TRA, AIR TANZANIA, NHC na DAWASCO!!!

Yeah, it is obvious, it is open. Kwa kweli wewe si msemaji rasmi wa serikali, ila kuna kajimkono ka sirisharp
 
soine

soine

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
1,435
Points
2,000
soine

soine

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
1,435 2,000
Hivi haya matusi yoote TCRA wapo tu wamekodoa macho.

HAYA tunawatuhumu majirani zetu Kenya kuwa walipanga na kufanya murder case Tanzania na hakuna ushahidi wowote, vipi dilpomasia ikoje hapa?

Dah ujinga na upumbavu ni mzigo, Eeeh Mola tuponye watanzania kuondokana na mzigo wa ujinga.

Come back Lowassa: ELIMU!!! ELIMU!!! ELIMU!!!
 
rich gang

rich gang

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Messages
928
Points
500
rich gang

rich gang

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2016
928 500
ipo ck yake atapandishwa kizimban na atoe ushahidi wa yote aliyowah kuyasema hapo ndipo utajua kila mmoja alikuja dunian kivyake
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
11,918
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
11,918 2,000
Nimepitia comments zote kwenye hiyo clip kule YouTube, watanzania wengi bado ni wajinga sana! Hawawezi kuchambua anayoyaongea huyo mpumbavu. Akisema Lissu shoga wanakubali, akisema sasahivi mambo safi ndio maana vyuoni hakuna migomo wanasema yes! Bila hata kujiuliza hiyo nafasi ya kugoma na ukabaki salama sasahivi ipo au tunaishi tu kama digidigi!?

Aliapa kupambana na CHADEMA hadi ife, leo hii anaishauri iwe makini na Zitto kabwe (asije kuiua), wao wamo tu kumpongeza! Anasema shambulio la Lissu ni feki, wajinga hao wanafuata tu! Na ujinga mwingine mwingi sana!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya JF na fb, WhatsApp, YouTube etc!

***Abhasubhi twemanye***
HAHAHA
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
27,156
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
27,156 2,000
Ni kwa nini anaiogopa sana Jamiiforums, siyo yeye pekee, viongozi na watu wengi mashuhuri wanaihofia sana Jamiiforums...

Cc: mahondaw
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
11,918
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
11,918 2,000
Hatari kabisa!!! Kwa hisani ya NMB, TANESCO, TRA, AIR TANZANIA, NHC na DAWASCO!!!

Yeah, it is obvious, it is open. Kwa kweli wewe si msemaji rasmi wa serikali, ila kuna kajimkono ka sirisharp
Sure
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,585
Points
2,000
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,585 2,000
Hizi mambo wanazoropoka wakina msiba na wengine zinazidi kuusiriba matope uongoz wa Chato
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
2,900
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
2,900 2,000
We unahangaika na huyo premature imbecile?
 
kimswilia

kimswilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
567
Points
500
kimswilia

kimswilia

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
567 500
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea,

Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo
1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi jioni, nikaipuuza hii, hapa kuna majukwaa mengi, siasa, katiba, biashara, mapenzi, sasa kila jukwaa linamtusi rais? Pili hata kwenye jukwaa la siasa ni baadhi tu wala si wote,

2.Kasema Lissu hakupigwa risasi, eti ni mpango walipanga na w a kenya, yeye na dereva pia na mbowe ili apogwe blanco yan mifano ya risasi, sasa nashanga kuna mtu wa kuchezea maisha yake kiasi kile kisa umarufu wa kisiasa? Hii nimeikataa kabisa, Lissu kapigwa na risasi za kawaida kabisa wala si Blanco, pili mbona eneo la tukio lilifikika inamaana banco hazijulikani? Polisi wasingegundua?

3.Kasema mitandao yote ifungwe yaan YouTube, FB, na jamiiforums,
Akaeleza kwamba jf imeletwa na wazungu kuleta mapinduzi(hii si kweli kabisa)
Anasema YouTube ifungwe wakati ndo anaitumia kujitangaza na kuleta habari anzoleta,
Akasema FB imeanzishwa kuwaondoa watawala wa afrika, hapa anadanganya ni ama hajui au ameamua tu kusema

4.Kasema kwamba Zitto ana mpango wa kugombea kupitia CHADEMA ndo maana kawaomba kujiunga, na akasema ndani ya CHADEMA haoni msomi na mchambuzi kama yeye hivyo lazima agombee 2020 maana Lissu ni mlemavu hawezi gombea, eti zitto kayasema hayo

5.Mbaya zaid amemtuhumu mr Lissu kwa ushabiki tu kwamba ana picha amelala na mzungu mwanaume chumba kimoja, kwa wenye akili timamu hawawezi amini ujinga huu labda wasioweza kuhoji,

Jamani rais tunampenda lakin tumtetee kwa hoja za msingi maana muda mwingine utakuwa na hoja kweli lakin kwa sababu ya habari zenye uwalakini utapuuzwa,

Msikilize hapo
Baada ya kusoma bandiko lako nimengudua tafouti yako na Msiba anakukwaza jinsi ya kuwakilisha hoja zake ila lengo lenu ni moja nisawa na watu wawili wanauza samaki walioza sokoni moja anachoma ubani na dawa ya kuzui nzi na mwingine anawabwaga kama walivyo
 
Forum statistics

Threads 1,316,456
Members 505,652
Posts 31,891,034
Top