Museveni sasa kushtakiwa ICC

Kwa sasa bila ya ubishi Kenya
ni kinara wa demokrasia EA
Walianza wakenya mpaka sasa serikibya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…