Hawa viongozi wametumia uzoefu wa China, makosa ya US na Italy, kuwalinda raia wao. Siku zote mtu mwerevu hutumia makosa ya watangulizi wake ili kuzuia makosa.
Trump amekiri kuwa Wamarekani wasingkufa kiaisi cha sasa kama wangekuwa wamejua mapema uzito wa tatizo. Hii ina maana anakiri kuna makosa wamefanya kutokana na kitokujua uziro wa Tatizo.
Mataifa ya Afrika hayana cha kusingizia. Wamejua kilichotokea China. Wanaona kinachoendelea Ulaya na America. Wanajua makosa yaliyofanywa na mataifa haya. Wao nao kupita kwenye njia ile ile, au ni kukosa akili au kiburi cha ujinga.
Kwani apa hamuui? Damu za watu wasio na hatia zimewahamishia Chato.Mnashinda kwenye mawe kama mijusi.Kwenye hii comment umejaza points nyingi ambazo unazidi kuwapaka matope hawa marais wako bora.
Maendeleo yao,,yapo kawaida sana.
Demokrasia rwanda na uganda zina demokrasia ?
Hivi unaweza kaa mbele ya hadhara na kusema hawa marais,watu wao wanawakubali ?
Mbona sasa wakikosolewa na watu wao hao wanaowakubali wanawauwa ?
Ukosowaji wa wazi unaofanywa kwa serikali hapa tanzania ukifanya rwanda kwa mr butcher paul kagame anakula kichwa fasta,hatakagi jamu na makelele ya wakosoaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku utakufa. Usiseme ni uzembe. Covid inaua, ila mbona hata kabla haijaja vifo vimekuwepo?Vifo vitokavyo na uzembe je?
Unaweza.Mungu alituumba kwa mfano wake. Usifanye uzembe useme hakuna mtu anaweza kuzui kifo. Kifo kinazuilika.Acha uzembehakuna binadamu mwenye uwezo wa kuzuia kifo.
Nyerere vs M7 & PK: Damu nzito kuliko maji!Siku zote Marais waliopikwa vyema Kisiasa kisha wakapatiwa na Mafunzo mazuri ya Kijeshi na wakaja kuwa Wanajeshi ikitokea wakatawala nchi basi hiyo nchi itapiga mno hatua za Kimaendeleo kuliko wale Marais wanaotokea katika Maabara za Kikemia pekee huku wakiwa wamepita Jeshini kwa Miezi Mitatu tu. Hayati Baba wa Taifa Nyerere hakuwa Mjinga au Mpumbavu kuwapenda akina Museveni na Kagame kwani nje ya wao kuwa Wapambanaji wa Msituni lakini pia alishawaona kuwa wana Akili sana Vichwani mwao na wana Mapenzi ya Kweli na Wananchi wao.
Siku zote Marais waliopikwa vyema Kisiasa kisha wakapatiwa na Mafunzo mazuri ya Kijeshi na wakaja kuwa Wanajeshi ikitokea wakatawala nchi basi hiyo nchi itapiga mno hatua za Kimaendeleo kuliko wale Marais wanaotokea katika Maabara za Kikemia pekee huku wakiwa wamepita Jeshini kwa Miezi Mitatu tu. Hayati Baba wa Taifa Nyerere hakuwa Mjinga au Mpumbavu kuwapenda akina Museveni na Kagame kwani nje ya wao kuwa Wapambanaji wa Msituni lakini pia alishawaona kuwa wana Akili sana Vichwani mwao na wana Mapenzi ya Kweli na Wananchi wao.
kwani serikali gani aiui ?ipi hiyo serikali na mm niifahamu.Kwani apa hamuui? Damu za watu wasio na hatia zimewahamishia Chato.Mnashinda kwenye mawe kama mijusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo Uganda imepata maendeleo?Siku zote Marais waliopikwa vyema Kisiasa kisha wakapatiwa na Mafunzo mazuri ya Kijeshi na wakaja kuwa Wanajeshi ikitokea wakatawala nchi basi hiyo nchi itapiga mno hatua za Kimaendeleo kuliko wale Marais wanaotokea katika Maabara za Kikemia pekee huku wakiwa wamepita Jeshini kwa Miezi Mitatu tu. Hayati Baba wa Taifa Nyerere hakuwa Mjinga au Mpumbavu kuwapenda akina Museveni na Kagame kwani nje ya wao kuwa Wapambanaji wa Msituni lakini pia alishawaona kuwa wana Akili sana Vichwani mwao na wana Mapenzi ya Kweli na Wananchi wao.
Acha kueneza CHUKI mitandaoniKigali na kampala wanakufa njaa
Majumbani
Wananchi wa haya majiji wakiona comment yako hii wanakuchuna ngozi ukiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo Uganda imepata maendeleo?
Watanzania unapenda misha sana, sacha corona itufundishe adabu...
Yaani hadi leo watu wanadhurura hovyo hovyo bila tahadhari yeyote....
Masomo yote biashara kama kawaida..
Ubungo terminal kama kawa...
Mwendo kasi kama kawa...
Media zote zifunge vipindi vyote vitangaze Corona tu...
Muombe Muumba wako huku unakimbia...sasa sisi tunaomba huku tumeketi na adui anazidi kutusogelea...huko ni kumjaribu Mungu wa Ibrahim, Mungu wa isaka....
Duh!Wewe Mwenyewe Akili yako hiyo ina Maendeleo?
Hivyo Pilato akamwambia, “Husemi nami? Je, hujui kwamba ninayo mamlaka ya kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?” 11 Yesu akamjibu, “Hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa na Mungu.Unaweza.Mungu alituumba kwa mfano wake. Usifanye uzembe useme hakuna mtu anaweza kuzui kifo. Kifo kinazuilika.Acha uzembe
Umekapiga bao ngapi za nguvu?Kadada Bia Yetu nimetoka kukagonga sasa hivi?
Kwa hio so far wamekufa wangapi kwa Corona na njaa pande hizo?Rwanda na Uganda ni nchi za kibabe kule watu wanakufa kwa corona na hata njaa kagame anaficha ili kuji overrate. Nonsense!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tukasikilizie kama katarudi hapa labda katasimulia!Umekapiga bao ngapi za nguvu?