Kwa hapa tanzania nadhani saloon za kiume na kike 20% na biashara ya bodaboda 50% huku viwanda -ve80%.JK nina uhakika hana takwimu za ajira,viwanda,biashara ila za maambukizi ya ukimwi anazo kwa kua ndio ufadhili ulipo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.