SI KWELI Museveni amemuonya mwandishi Larry Madowo kuelekea uchaguzi mkuu Uganda

SI KWELI Museveni amemuonya mwandishi Larry Madowo kuelekea uchaguzi mkuu Uganda

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Wakuu

Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.

1764329280293.png
 
Tunachokijua
Madai

Mtumiaji mmoja wa mtandao wa Instagram ameshiriki kipande cha video kinachomuoensha Rais wa Uganda, ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Urais wa nchi hiyo kuelekea uchaguzi unaotarajiwa ufanyika Januari, 2026 akimuonya mwandishi wa habari wa CNN akae mbali na uchaguzi wa nchi hiyo la sivyo atauona moto.

Uhalisia wa madai hayo

JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa video hiyo imehaririwa kwa teknolojia ya Akili Unde (AI).

Ufutailia kupitia nyenzo za kidigitali umebaini kuwa video hiyo imehaririwa kwa kuongezewa sauti ambayo haikuwepo katika video halisi ambayo Museveni alikuwa akizungumza na chombo cha habari.

Video halisi ilichapishwa Novemba 6, 2023 na Chaneli ya Youtube yenye jina la UG files yenye kichwa " Hard talk: Germany Press asks Museveni tough questions | Wise response".

Katika video hiyo Museveni alianza kwa kuulizwa kwanini utawala wake unaonekana kuwa ni wa kiimla ingali hapo awali ulionekana ni kama utawala wake ulionekana kama ni ushujaa na ndipo Museveni akaanza kuelezea shida ni nini.

Hivyo video hiyo si ya mwaka 2025 kama inavyoonekana na badala yake ni ya mwaka 2023 ambapo pia Museveni hakuzungumza maneno hayo ya kumuonya Larry Madowo.
Kuna clip ambamo rais Msueveni akimshutumu na kumtishia Larry Madowo Mwandishi wa CNN aliyeanika uchafu wa Tanzania hivi karibuni. Sijui kwanini watawala wetu wanaweweseka na kuzidi kumpandisha chati Larry wasijue wanajimaliza wenyewe.

Wakinyamaza, ni noma. Wakipayuka, ni noma. Dawa ni kuacha mchezo mchafu wa kung'ang'ania madaraka na kuiba kura ili kutoa nafasi kwa wenye mapenzi mema, ujuzi na uzalendo waendeshe nchi.

Nilishani akina Malyamungu aka Msigwa walikwishazikwa na kupotea kumbe wanaweza kufufuka! Poleni sana maimla wote. Mwiba huu ni wa kujidunga wenyewe. Halo halo!
 
pdiddy amejirekibisha nasikia hii ni Moja ya mahakama wamekubari.
FB_IMG_1764332159565.jpg
 
Sativa nae alipost alijua Museveni kweli kasema , Mimi nilijua tu Ai toka day 1
 
Mzee Mseveni aliposikia Lorry Madowo aliyekinukisha Tanzania,
Ameingia Uganda Ili kuripoti kampeni za Bob Wine , akajitokeza na kumsema yakuwa hasimjaribu yeye sio Samia wa Tanzania, akaenda mbali zaidi akasema hasimjaribu yeye ni mtu hatari sana ENDAPO ataingia atamkamata na kumlawiti!

Lorry Madowo kesho yake akaonekana MTAANI Kampala akasseti mitambo yake vizuri, akatuma salamu kwa mseveni yakuwa ENDAPO atazurika ajiandae kuondoka madarakani kudadeki Kiko wapiiii dogo amepiga mzigo na ameisha sepa zake

Je mseveni amezeeka anashindwana vitoto? Ni aibu musebeni iachie Uganda ila mwambie Mwanao ajiuzuru maana kabobe hatomwacha salama atamla kalio.
 
Anakaribia kujifia yupo kachoka kwanza ni mgonjwa.
 
Back
Top Bottom