REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Jangili anae angamiza faru na tembo ni m baya zaidi kuliko bwabwa. japo sitetei machele lkn tungeanza na majangili na wauza sembe ndio tuje kwenye machele
Katika hayo yote ni lipi jamaa analiweza kukemea ukimuangalia????!!