Museven kunyonga mashoga nawasagaji

Museven kunyonga mashoga nawasagaji

Kwangu mi heli jangili kuliko limchele
Jangili anae angamiza faru na tembo ni m baya zaidi kuliko bwabwa. japo sitetei machele lkn tungeanza na majangili na wauza sembe ndio tuje kwenye machele
 
Mbali ya uwingi wa wanawake eti nao wanataka kuolewa.Basi wapewe haki ya kuolewa na wanyama.sa sikilizia kitu cha punda kudadadeki
 
Bora wasagaji na hao mabwabwa kuliko wauza madawa na wauwa tembo.
Watu si miili yao, mangapi yanafanyika gizani hatuyaoni?
Mimi siungi mkono hoja, kuna watu wanang'olewa kucha na meno bila ganzi bila huruma.
 
Mbona kuna wakubwa wengi tu ma bwabwa na mnawajua nao tuwauwe. tuanze kuua wale wauza sembe tunaowajua na wale majangili arobaini wanaojulikana mpaka uingereza ndio tuje kwa machele
 
Mtakuja kusikia kitakachomkuta. Hatuyapendi haya mambo lakini walioyashikia kidedea ndiyo hao mabosi wa dunia. But hongera kwake kwa kuonesha msimamo utakaodumu kwa muda.

Waafrika tunaweza kusimama wenyewe ikiwa tunaamua bila kuhitaji misaada yao ya ushoga, kwani maendeleo ya ulaya yanatokana na rasilimali za afrika kwa ujumla, ila tunajirahisisha kwao na ndio maana wanatufanya watakavyo.
 
Rais wa uganda
amekubali kusain muswada utakaowafunga mashoga na wasagaji na kuweka vifungo ikiwemo kufunga maisha

ahsante presidaa uchafu huu usiwepo tena

Mpeni dole lakini asije akawa kama Tz ambako mashoga hutafutiwa sifa za ushoga kupitia mfumo wa "grapevine". Ataishia kunyonga watu waliobambikizwa ushoga kwa sababu ya chuki za mitaani.
 
Huyu ndio mwanaume sio yule shoga ambaye ameshindwa kuukemea ushoga CNN juzi

Mkuu nilikuwa nimeipita hii uzi yako lakini kila nikienda nawaza hivi hawa Mods jinsi walivyo waonezi hawajakupiga Ban tu? Ikabidi nirudi kukuchungulia nikakukuta uko online! Ila mkuu wewe umepinda kweli kweli!!
 
Hongera sana Mhe, Museveni, umesimama, umenena na kuwaonesha kuwa mamlaka yako imetoka kwa wananchi. Wabakaji wa madaraka wanashindwa kusimamia sheria na hata kupambana na wahalifu kama majangili na walanguzi wa madawa ya kulevya. Hata pale wanapotakiwa kutoa msimamo kwa mambo yaliyowazi wanabaki kujichekesha na kuishia kusema sijui jambo ambalo ni aibu na fedheha sio kwao tu bali hata kwa wananchi wanaojinasibu kuwa wanawaongoza.
 
🙂 but I reserve my full smile till the bill is signed off.
 
Amebaki dhaifu

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Tusubiri chadema iingie madarakani, hahahahahahahaaaaaa
 
Mkuu nilikuwa nimeipita hii uzi yako lakini kila nikienda nawaza hivi hawa Mods jinsi walivyo waonezi hawajakupiga Ban tu? Ikabidi nirudi kukuchungulia nikakukuta uko online! Ila mkuu wewe umepinda kweli kweli!!

Sio kupinda, ni kukosa adabu.
 
Amecema kama shda tulizaliwj nazo atuitaji kuemwata kila kitu kwa kuckiliza wafadhal

ukiwa rafiki wa kagame tu ndio unaweza ongea hadhara

bgup kagame njo na tz uwaelimishe waungwana
 
Museven hapo sawa,Mwenyezi mungu aliwaonyesha watawala wa dunia hii kwa vitendo nijinsi gani anavyo wachukia watu hao, kwa kuwapiga kiberit kule sodoma na gomora,Safi sana umeonyesha kwa vitendo sasa tunasubiria utekelezwaji washeria yenyewe.
 
Back
Top Bottom