Hospitality yao ikoje? Usalama? Ugaidi?
Gharama za maisha?
It's a fantastic country.
Salama kabisa, laid back, haina fujo kama Dubai. Absolute Monarchy system kama ya UAE.
Siyo ghali lakini Heineken unakunywa 5 star hotel tu ($10), hamna pombe supermarket.
Ni kama Zanzibar, Wapemba wengi residents, Kibongo ni kama lugha ya pili.
Ukienda beach yao, huwa wanacheza mpira sana.
Vyakula vyote vya Bongo vipo.
Highly recommended.
Mimi nilidhani mtaweka na fursa za ajira#&*+
Thanks for your honest recommendation.
I guess i'll pay a visit one day.
Hakuna ugaidi,ni nchi yenye amani sana,hakuna ubaguzi kama watu wanavyoaminishwa,chakula cha kibongo kinapatikana kwenye "Zinjbar restaurant" Lugha ya kiswahili unaweza kusema ni ya pili baada ya Kiarabu (i stand to be corrected)Hospitality yao ikoje? Usalama? Ugaidi?
Gharama za maisha?
Wanapenda soccer kama wabrazil,kila beach kuna watuwanacheza Mpira,hata currency ya Oman ni strong sana aiseee.It's a fantastic country.
Salama kabisa, laid back, haina fujo kama Dubai. Absolute Monarchy system kama ya UAE.
Siyo ghali lakini Heineken unakunywa 5 star hotel tu ($10), hamna pombe supermarket.
Ni kama Zanzibar, Wapemba wengi residents, Kibongo ni kama lugha ya pili.
Ukienda beach yao, huwa wanacheza mpira sana.
Vyakula vyote vya Bongo vipo.
Highly recommended.
Lo walipata faida sana kwenye biashara ya watumwa
gesi yetu wajameni itatufikisha huko?Hiyo ni faida ya faida ya mafuta na gas.