Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 933
- 525
this is for free, mudumber
is going nowhere, qwanza ati for president? He will be pinished like a
child, wait for it...seems we forget the two suspects needed dat
immunity like yesterday. about numbers, my voting block now have a
reason to vote. Its the vibe everywhere minus GEMA n Kale regions. Heres
the shocker, even the loyal Kisiis wamehama, nikuhama kabisa kabisa
sasa. The cord is rolling.
you know am talking about numbers if gema and kalenjin have an high turnout then add that to mudavadi even 20% luhya then it will be very hard for cord even if they get rest of kenya. to make it worse raira should have chosen a kalenjin,i suspect now they will all back ruto. honestly and from what i have heard from a political pundit cord start at a disadvantage
On my dead body!
Mudavadi can't become Kenya's next president. He is an opportunist who
knows nothing. Uhuruto or Gihuruto in Gikuyu won't let this happen. They
will cling unto the ticket even if they know they are going to lose.
Mudavadi should not be fooled by the ballyhoos and hoo has from Uhuruto.
If anything, Mudavadi is but a tool in someone's hand.
Khabari zilizonifikia saa hii zinaonyesha ya kuwa Uhuru Muigai Kenyatta ameamua kwa hiari yake kumwachia Mudavadi kuwa Raisi wa Kenya wa nne kutokana na nguvu ya muungano wao kuonyesha watashinda katika raundi ya kwanza bila ya kujali kati yao nani atakuwa mgombea tajwa.
Vilevile uhuru amepata mashinikizo kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa nchini Kenya kumwachia Mudavadi kwa sababu ya "stability" ya kenya................kwa maana ya kuwa kama Uhuru na Rutto wote wakitiwa hatiani na hague au hata kuhudhuria kesi hiyo inaamaana nchi itakuwa mikononi mwa nani?
Jingine ni kuwa Uhuru atapenda akumbukwe kuwa alijitoa mhanga kuruhusu kenya kwa mara ya kwanza kuwa na Raisi na Makamu wake kutoka makabila mengine isipokuwa wakikuyu..........................if this is true.........what an enduring legacy to bequeth a nation known as an amalgamation of African primitive tribes..........
It seems Muigai is the most powerful kingmaker in this Kenyan election....................
Waliotarajia ya kuwa Tinga atakuwa Raisi ni vyema wakaanza kuandika maumivu makali maana makabila yanamkubali hayana wapigakura wakushindana na wimbi la uhuru muigai Kenyatta................................tuwape pole................kwa maumivu
Kumbe hata Kenya wafanyabiashara wana nguvu za ku-influence mambo ya Siasa? Maana tumezoea hapa kuona wanawaweka akina Kikwete Madarakani
mkuu kumbuka Uhuru anaungwa mkono na kabila moja tu na hayo yaliyobakia yanamuunga odinga. wakenya hawako tayari kurudi chini ya utawala wa familia ya Kenyatta.Khabari zilizonifikia saa hii zinaonyesha ya kuwa Uhuru Muigai Kenyatta ameamua kwa hiari yake kumwachia Mudavadi kuwa Raisi wa Kenya wa nne kutokana na nguvu ya muungano wao kuonyesha watashinda katika raundi ya kwanza bila ya kujali kati yao nani atakuwa mgombea tajwa. Vilevile uhuru amepata mashinikizo kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa nchini Kenya kumwachia Mudavadi kwa sababu ya "stability" ya kenya................kwa maana ya kuwa kama Uhuru na Rutto wote wakitiwa hatiani na hague au hata kuhudhuria kesi hiyo inaamaana nchi itakuwa mikononi mwa nani? Jingine ni kuwa Uhuru atapenda akumbukwe kuwa alijitoa mhanga kuruhusu kenya kwa mara ya kwanza kuwa na Raisi na Makamu wake kutoka makabila mengine isipokuwa wakikuyu..........................if this is true.........what an enduring legacy to bequeth a nation known as an amalgamation of African primitive tribes.......... It seems Muigai is the most powerful kingmaker in this Kenyan election.................... Waliotarajia ya kuwa Tinga atakuwa Raisi ni vyema wakaanza kuandika maumivu makali maana makabila yanayomkubali Raila hayana wapigakura wa kushindana na wimbi la Tsunami la Uhuru Muigai Kenyatta................................tuwape pole................kwa maumivu
Kama kweli bro. Musalia Mudavadi amepishwa na Uhuru Kenyatta katika mbio za uraisi itakuwa ameisaidia sana kuiimarisha kambi yao.
Lakini hata hivyo si jambo rahisi kusema kwamba Odinga asahau kuingia Nyayo House kwakuwa wanasiasa wa Kenya hawatabiriki, usijekushangaa akina Eugen Wamalwa, Peter Keneth, na Tuju wanaiunga mkono kambi ya Odinga na Musyoka.
Ni suala la kusubiri kidogo tu kwani mambo yatakuwa hadharani kwakuwa muda umewaishia wa kila mmoja kujua anasimama wapi na nani.
mkuu kumbuka Uhuru anaungwa mkono na kabila moja tu na hayo yaliyobakia yanamuunga odinga. wakenya hawako tayari kurudi chini ya utawala wa familia ya Kenyatta.
Nimeshaingiwa na wasiwasi kuwa Raila na kundi lake wanaweza kupigwa chini. In short kenya wananifurahisha.
Rutashubanyuma najua unatambua kwamba biashara ya siasa za Kenya ni ngumu sana kwa sisi tuliozoea siasa za kitanzania. Kwa madhila aliytofanyiwa Odinga na Utawala wa Moi pamoja na kukubali kuunganisha vyama vyao (NDP na KANU) huku akipewa ahadi ya kugombea uraisi(Odinga) lakini dakika za mwisho Moi akaamua kumbeba kwa mbereko ya Chuma Uhuru Kenyatta kulikuwa hakuna kitu kingine cha kufanya kwa Odinga zaidi ya kile alichokifanya.Mwita Maranya Haya maneno ya uchaguzi wa Kenya yamekwisha ....it is payback time..........BIG time..............Tinga aliwasaliti akina Mudavadi, Ruto na Muigai.................uchaguzi wa 2002..............ten years later the chicken have come home to roost....................ungelimwangalia usoni vizuri tinga juzi alivyochoshwa na mahesabu ya Muigai ndiyoungelijua.................what am talking about...................actual this a game-changer announcement may come as soon as next week........................keep on watching this space for more info.........