Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,948
Subirini, mwaweza kuona Raila anapata kura za wale wanaomuunga mkono Martha Karua.
Where does that leave Ruto? Sitaki kuamini kuwa Ruto ni mjinga kiasi kuwa kuungana kwake na Uhuru kunaweza kumfanya amwache Uhuru afanye maamuzi makubwa bila ya yeye kuwa na stake.Khabari zilizonifikia saa hii zinaonyesha ya kuwa Uhuru Muigai Kenyatta ameamua kwa hiari yake kumwachia Mudavadi kuwa Raisi wa Kenya wa nne kutokana na nguvu ya muungano wao kuonyesha watashinda katika raundi ya kwanza bila ya kujali kati yao nani atakuwa mgombea tajwa.
Vilevile uhuru amepata mashinikizo kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa nchini Kenya kumwachia Mudavadi kwa sababu ya "stability" ya kenya................kwa maana ya kuwa kama Uhuru na Rutto wote wakitiwa hatiani na hague au hata kuhudhuria kesi hiyo inaamaana nchi itakuwa mikononi mwa nani?
Jingine ni kuwa Uhuru atapenda akumbukwe kuwa alijitoa mhanga kuruhusu kenya kwa mara ya kwanza kuwa na Raisi na Makamu wake kutoka makabila mengine isipokuwa wakikuyu..........................if this is true.........what an enduring legacy to bequeth a nation known as an amalgamation of African primitive tribes..........
It seems Muigai is the most powerful kingmaker in this Kenyan election....................
Waliotarajia ya kuwa Tinga atakuwa Raisi ni vyema wakaanza kuandika maumivu makali maana makabila yanayomkubali Raila hayana wapigakura wa kushindana na wimbi la Tsunami la Uhuru Muigai Kenyatta................................tuwape pole................kwa maumivu
Wala isikutishe hiyo ya wafanyabiashara wakubwa kwa sababu kwa Kenya wengi wa wafanyabiashara wakubwa ni wanasiasa pia, akiwamo Uhuru mwenyeweKumbe hata Kenya wafanyabiashara wana nguvu za ku-influence mambo ya Siasa? Maana tumezoea hapa kuona wanawaweka akina Kikwete Madarakani
Na kuna maeneo mengi mengine ambako anaweza kupata kura za kutosha, mathalani PwaniSubirini, mwaweza kuona Raila anapata kura za wale wanaomuunga mkono Martha Karua.
[MENTION]Rutashubanyuma najua unatambua kwamba biashara ya siasa za Kenya ni ngumu sana kwa sisi tuliozoea siasa za kitanzania. Kwa madhila aliytofanyiwa Odinga na Utawala wa Moi pamoja na kukubali kuunganisha vyama vyao (NDP na KANU) huku akipewa ahadi ya kugombea uraisi(Odinga) lakini dakika za mwisho Moi akaamua kumbeba kwa mbereko ya Chuma Uhuru Kenyatta kulikuwa hakuna kitu kingine cha kufanya kwa Odinga zaidi ya kile alichokifanya.
Infact Odinga ni mvumilivu sana na Muungwana kwakuwa baada ya kuchoropoka KANU alikubali kumfanyia kampeni Mwai Kibaki ili kuuung'oa kabisa utawala wa kifamilia na kikabila wa Kanu. Aliyewasaliti wenzake ni Kibaki na wala huwezi kumtupia lawama Odinga kwa yaliyotokea. Wote hawa Odinga, Musyoka, Uhuru, Rutto, Balala na wengine wengi waliokuwa pamoja chini ya serikali ya kibaki waliparaganyika tena 2007 kutokana na Kibaki kutotimiza kikamilifu ahadi zake.
Kwahiyo haya yanayotokea sasa ya miunganiko ya wanasiasa si ya ajabu na yalitarajiwa kuwepo, ambacho hakikuwa kinajulikana ni nani na nani watakuwa pamoja. Lakini niseme kwamba bado ni mapema mno kwa kambi ya Uhuru, Ruto kuwa na uhakika wa ushindi wa moja kwa moja kwa kumuingiza kundini Mudavadi, hiyo ni ngumu sana kwani bado kuna wanasiasa wenye nguvu kutoka kabila la Mudavadi wanaomuunga mkono Odinga kwahiyo hii ngoma bado mbichi sana.
Na kitu kingine cha muhimu ni kwamba Odinga ni bingwa wa mikakati ya kisiasa na uchaguzi, siwezi katu kumchukulia poa kiasi hicho.
Kile ambacho wafuasi wa uhuru ambao ndio wengi kenya wanaweza fanya ni kumpigia musalia kura, hapo watawazima kimya akina odinga na wafuasi wake na makelele yao ya ukabila. tena hiyo ndio kuanza kujenga demokrasia
Rutashubanyuma unawaamini pollsters of Africa kama Synovate na wale wa UDSM/Dr. Bana??Sir R makampuni yote ya polls nchini Kenya yamesema Raisi atatoka katika muungano unaoongozwa na Uhuru.........................wao wanasema.....revenge is sweet.............
Hivi Uhuru Kenyata si anakesi yakujibu The Hague?
Rutashubanyuma unawaamini pollsters of Africa kama Synovate na wale wa USDM/Dr. Bana??
Unasemaje kuhusu muungano wa Raila na Kalonzo (kumb. Kalonzo alikuwa kwa Uhuru/Ruto a month ago)....Dont underestimate the Luo boy, na safari hii hamna kuchakachua kura.
Raila ni nyani mzee kakwepa mishale a hundred fold
@hapa hawa wafanyabiashara akiwemo uhuru mwenyewe ni tishio kwa usalama wa taifa la kenya hawawezi kujijengea himaya kulinda interest zao wao na washirika bila kuangalia maslahi ya kenya .huu ni mtego na wa onyesha kushindwa kabla wanahofu ya nini .hiyo coalition sawa la msingi hapa ni nani anatetea nini .biashara au taifa ....
Na kuna maeneo mengi mengine ambako anaweza kupata kura za kutosha, mathalani Pwani
Where does that leave Ruto? Sitaki kuamini kuwa Ruto ni mjinga kiasi kuwa kuungana kwake na Uhuru kunaweza kumfanya amwache Uhuru afanye maamuzi makubwa bila ya yeye kuwa na stake.
Kwa sarakasi za siasa za kenya, si ajabu, kesho na keshokutwa tukasikia Ruto amerudi kwa Tinga, na hapo hesabu itabidi zianze kupigwa upya kuhusu nani ana uwezekano wa kushinda
Mpita Njia Ruto nafasi ya mgombea mwewnza haina ubishi...................he is happy with that proposition......[/QUOTE Rutashubanyuma, kama Uhuru kaamua kuachia nafasi ya urais kwa sababu ya kesi ya ICC, ina maana hata Ruto naye ana nafasi ndogo sana ya kuendelea na uchaguzi. Kinachogomba akilini mwangu ni kama Uhuru alimsihirikisha Ruto katika kufikia makubaliano ya Mudavadi. Kama hivyo ndivyo, Je, Mudavadi hakuwa na mgombea mwenza (hata wa kufikirika), na je itakuwa kwa huyo mgombea mwenza. Ukiangalia hivi, unaweza kuona kuwa bado hesabu ya kushindfa kwa Mudavadi bado haijakaa vizuri. Kuungwa mkono na Uhuru peke yake hakutoshi kumhakikishia Mudavadi ushindi, hasa ukizingatia jisni siasa za Kenya zilivyo
Khabari zilizonifikia saa hii zinaonyesha ya kuwa Uhuru Muigai Kenyatta ameamua kwa hiari yake kumwachia Mudavadi kuwa Raisi wa Kenya wa nne kutokana na nguvu ya muungano wao kuonyesha watashinda katika raundi ya kwanza bila ya kujali kati yao nani atakuwa mgombea tajwa.
Vilevile uhuru amepata mashinikizo kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa nchini Kenya kumwachia Mudavadi kwa sababu ya "stability" ya kenya................kwa maana ya kuwa kama Uhuru na Rutto wote wakitiwa hatiani na hague au hata kuhudhuria kesi hiyo inaamaana nchi itakuwa mikononi mwa nani?
Jingine ni kuwa Uhuru atapenda akumbukwe kuwa alijitoa mhanga kuruhusu kenya kwa mara ya kwanza kuwa na Raisi na Makamu wake kutoka makabila mengine isipokuwa wakikuyu..........................if this is true.........what an enduring legacy to bequeth a nation known as an amalgamation of African primitive tribes..........
It seems Muigai is the most powerful kingmaker in this Kenyan election....................
Waliotarajia ya kuwa Tinga atakuwa Raisi ni vyema wakaanza kuandika maumivu makali maana makabila yanayomkubali Raila hayana wapigakura wa kushindana na wimbi la Tsunami la Uhuru Muigai Kenyatta................................tuwape pole................kwa maumivu
Leaders prop Mudavadi as compromise candidate
JISOMEE: