Murder, torture and bad leadership in Tanzania

Murder, torture and bad leadership in Tanzania

kuomba ushauri ni suala la kawaida hata mimi silipingi ndo maana nimempa ushauri kuwa kiingereza chake kiko na matatizo. Mnapotetea kwamba kiingereza siyo lugha yetu wakati gwanda 1 anataka makala iwe kwenye journal ya kimataifa nadhani mnakuwa hamumwambii ukweli na kazi yake itakuwa kichekesho. Tusijifariji kuwa kiingereza siyo lugha ya kwetu kwa kuandika tunavyojisikia maana watakaopelekewe hiyo article hawataangalia kwamba aliyeandika hiyo article kiingereza sio lugha yake. Pia suala la kuja bila manuscript ni upungufu mwingine maana tutashindwa kutoa ushauri murua.

msaada siyo lazima nakama kwako ni tatizo ku-edit kazi ya mwezako wapo watakaofanya, unaweza kuwa mtazamaji au

ukasepa kabisa hajakulazimisha wapo watakaokuwa teyari kutoa msaada.

mbona rais wa china alikuwa anapiga lugha yake lakini walihusika wenye fani zao na mambo yakaenda sawia. Kosa

afanye mswahili akifanya mtu mweupe ah safi! Tafakali.
 
Yaaani unatutesa sana kuelewa nini unataka kusema
 
Watanzania ndio wenye viherehere vya kuangalia na kukosoa lugha ila wenzetu wako interesed na content na wala siyo ubora wa lugha.
 
Dear Tanzania, It’s my pleasure to inform you about my
coming article on Murder, torture and bad leadership in Tanzania, 2013. Hopefully, my article will be accepted in an international Journal. The main aim of the article is to tell the society in the world how our fellow Tanzanians who have been killed, tortured as well as bad leadership in Tanzania. There is no true democracy in Tanzania; people have loose hope of living. Therefore, I request your contribution and of course I will put the manuscript here at JF for more comments before submitting it to a Journal.
Your cooperation is highly appreciating.

We are eagerly waiting for it. Tag me please.
 
msaada siyo lazima nakama kwako ni tatizo ku-edit kazi ya mwezako wapo watakaofanya, unaweza kuwa mtazamaji au

ukasepa kabisa hajakulazimisha wapo watakaokuwa teyari kutoa msaada.

mbona rais wa china alikuwa anapiga lugha yake lakini walihusika wenye fani zao na mambo yakaenda sawia. Kosa

afanye mswahili akifanya mtu mweupe ah safi! Tafakali.

rais wa china aliongea kichina,na gwanda1 anatakiwa kutumia kiswahili na ndo maana yangu
 
kuomba ushauri ni suala la kawaida hata mimi silipingi ndo maana nimempa ushauri kuwa kiingereza chake kiko na matatizo. Mnapotetea kwamba kiingereza siyo lugha yetu wakati gwanda 1 anataka makala iwe kwenye journal ya kimataifa nadhani mnakuwa hamumwambii ukweli na kazi yake itakuwa kichekesho. Tusijifariji kuwa kiingereza siyo lugha ya kwetu kwa kuandika tunavyojisikia maana watakaopelekewe hiyo article hawataangalia kwamba aliyeandika hiyo article kiingereza sio lugha yake. Pia suala la kuja bila manuscript ni upungufu mwingine maana tutashindwa kutoa ushauri murua.

Kiingereza ni lugha kama kiswahili na hata wazungu hukosea kama wewe ulivyoandika kiswahili kibovu hapo juu, nakuapia hicho kiswahili ulichoandika kikipita kwa mhariri wewe mwenyewe utakicheka!
 
Dear Tanzania, It’s my pleasure to inform you about my coming article on Murder, torture and bad leadership in Tanzania, 2013. Hopefully, my article will be accepted in an international Journal. The main aim of the article is to tell the society in the world how our fellow Tanzanians who have been killed, tortured as well as bad leadership in Tanzania. There is no true democracy in Tanzania; people have loose hope of living. Therefore, I request your contribution and of course I will put the manuscript here at JF for more comments before submitting it to a Journal.Your cooperation is highly appreciating.

Have loose or have lost ila naamini utaipeleka kwa professional editors kabla hakijazama huko kwenye international publications
 
wewe kiingeleza chako ni kizuri?wakat mwingne ucpende kukosoa bila kufkria kwan kiingeleza sio lugha yetu,

Maoni unayatafuta kwa kidhungu? basi rekebisha grammer angalau ili iwe sawa.
 
I don't find any problem in the writing. We should in no way hinder any attempts by our fellow Tanzanians who want to communicate in foreign language for the sake of personal improvement. I tell you guys, our English level is much better than other foreigners including some Europeans. Just travel around and see!

The message is clear and I expected wise people to pick up issues and discuss them rather than focusing on few grammatical errors. By the way, even in our own language, Swahili, we do mistakes.
 
Back
Top Bottom