witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Kupitia music Na kilimo Na madini nawasaidia kwa ajira za hapa Na pale ingawa nyingi ni short termOk poa kiongozi..
Swali; Wewe kama kijana unawasaidiaje vijana wenzako kujikwamua katika hali ngumu ya maisha... au ndio kila mtu afe kivyake?
Nani tena
Hongera mkuuKupitia music Na kilimo Na madini nawasaidia kwa ajira za hapa Na pale ingawa nyingi ni short term
Pia ninawezesha kiibua vipaji hasa vya uigizaji Na sanaa zingine mashuleni
Kidogo Ila kadiri ya umri wangu si haba
DJ sepetu
Nope!Hustler
DJ sepetu
Unacheka maswali 50 wap
Kweli bibieNakuomba Joseverest nikufanyie interview. Wengi tunataka kujua mengi kukuhusu.
Ningebadili pale nilipomtoa bikra mtoto Wa shangazi yangu akiwa Na miaka 15
DJ sepetu
yesuuPach leo maliza yoteeeSeriously nimeanza kukuelewa kwanini muda mwingi umekuwa covered na genye!
Enhee ilikuwaje ukamtoa bikra mtoto wa watu?ndugu yako
Kwahiyo ni mzoefu wa kula doso?Nikiwa jkt kamanda wetu tukikosea alikuwa akichagua watu wachache akiita kipangata basi mtaadhibiwa kinoma kuliko achukue group lote
Basi Mimi pia nimechagua tu Ku deal Na warembo!
DJ sepetu
ngachokawawili wote nimezaa shuleni Na wanafunzi wenzangu
DJ sepetu
No she is good
Sijakuelewa
Lipi baby