Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

Kutokujua ila ukajaribu ni heri kuliko kutokujaribu kabisa,kama ipo nia ya kujua ni bora ukajaribu hata watu wakiona hujui sio case

Ila mkuu na wewe unafupisha sana,andika neno liishe...ama na wewe hujui kuandika kiswahili?
Ucjal ata ivo najarbu jarbu kwan presentation ndo UA zinanilazmisha
Kuhus kufupisha mkuu siunanielewa lakin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doggie yote anakupa Na unaiona pia unachezea maboga kachumbari tosha!
Unataka chura halaf unamlaza kifo cha mende muda wote we veepee!

DJ sepetu
Hata akiwa na chura mende style chura yote haionekani, chura kwa mende ndiyo ze best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom