DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,338
Team DimplesSio mfupi sio mrefu maji ya kunde
Sio mnene sio mwembamba Nina vijichimo mashavuni dimples sijui
Mwaya Wa juu.
DJ sepetu
Teh!nimeishiwa kwa kweliUmeishiwa maswali veepee!
DJ sepetu
Asante pia unakaribishwa any time vipi unatoa hutoi!!Team Dimples
Dimples oyeee!
Muosha rungu nashukuru kwa haya machache uliyonijibu...kiasi fulani watu wamekufahamu
Shukurani sana mkuu
Swadataa msalimu kistobe wako!Teh!nimeishiwa kwa kweli
Labda atakayetaka kukuuliza akuulize tu
Kiukweli bila hata kukuuliza wala sitoi asee😀Asante pia unakaribishwa any time vipi unatoa hutoi!!
Usiulize nni![emoji12]
DJ sepetu
Itaooze shauri ykoo[emoji23] [emoji23]Kiukweli bila hata kukuuliza wala sitoi asee😀
Zimefika...Swadataa msalimu kistobe wako!
DJ sepetu
Ananipeti peti hapaaaZimefika...
Zifikishe kwa wifi yangu muarabu pia
Teh!mlivyo wengi hivi haiwezi kuozaItaooze shauri ykoo[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Eenhee nimekuja demu wako naniMuosha rungu boya unawamendea madem zangu
Wa kishua
Keyboard ndio maana kuna editingPressure - Pleasure
tumia kiswahili bosi kuna watu watakuimba hawatojali kama kiingereza ni lugha ya pili.
Mlevi Wa ugoro huyo dogoTwehe Twehe Twehe Twehe Twehe Mkuu kuna ukweli Hapo??![emoji23][emoji23][emoji23]
Sio ubaguzi mkuu ndio maana wash room for me and ke[emoji23] [emoji23]inaonesha una ubaguzi wa jinsia
Muosha rungu kashaguezia huyo..... You in the defensive side now.Kiukweli bila hata kukuuliza wala sitoi asee😀