I Ikweta Konzo Senior Member Joined May 11, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 10, 2013 #1 Mara nyingi methali hii imekuwa ikitumika lakini sijawahi kujua ina maana gani hasa. Naomba wataalamu muipambanue
Mara nyingi methali hii imekuwa ikitumika lakini sijawahi kujua ina maana gani hasa. Naomba wataalamu muipambanue
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Jun 10, 2013 #2 Muosha anaekusudiwa kwenye msemo huo ni muosha maiti. Lakini hata huyo muosha maiti naekuna siku atakufa na kuwa maiti na kulazimika kuoshwa kama alivyoosha wenziwe Hivyo muosha nae ipo siku yake nae ataoshwa Hivyo Waswahili huitumia nadharia hiyo kueleza kuwa ukijifanya mjanja kuna siku na wewe ujanja kama ule utakugeukia.
Muosha anaekusudiwa kwenye msemo huo ni muosha maiti. Lakini hata huyo muosha maiti naekuna siku atakufa na kuwa maiti na kulazimika kuoshwa kama alivyoosha wenziwe Hivyo muosha nae ipo siku yake nae ataoshwa Hivyo Waswahili huitumia nadharia hiyo kueleza kuwa ukijifanya mjanja kuna siku na wewe ujanja kama ule utakugeukia.