Muongozo wa Spika

NEGLIGIBLE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
354
92
Hivi majuzi nilibahatika kutembelea dodoma,off course dodoma inakua kwa kasi mno hongera kwa hilo.kilicho nipelekea kuomba muongozo ni kuwa kwa muda wote niliokuwepo dodoma,kuanzia tarehe 17/8 mpaka tarehe 21/8/2011 umeme haujawahi kukatika...........nilipohoji wakazi wa dodoma wakaniambia kuwa wao toka bunge lianze mwezi wa sita hawana mgao wa umeme...........wiki iliyopita mheshimiwa wenje aliomba suala la kutokuwepo kwa umeme kwa siku nne mkoa wa mwanza,arusha na hata dsm kutolewa maelezo na serikali,na serikali ilitoa maelezo.sasa suala la dodoma kupendelewa kwa kutokuwepo na mgawo wa umeme naona kuwa ni rushwa kwa mawaziri na wabunge ambao wakati wa bajeti muda mwingi huwa dodoma, na kuondoa kabisa dhana ya utawala bora kwani inaonekana kuwa wabunge na mawaziri wao hawastahili kupambana na adha ya mgao wa umeme na hivyo kupendelewa..................mheshimiwa spika naomba muongozo kwa hili.
 
mzee hii ndio tz mambo yote ya ajabu yanatokea ardhi hii.........................
 
Back
Top Bottom